B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
Mi wavudee, ngoja nikuelekeze kuazia thame, unapanda kilengaa, kituo cha kwanza mwembe,unakuja mgungani...mbele kidogo njia ya kupanda thujii, unakuja mkanyeni....unapita mto pendwa ngambini, unafika vudee msanga hapo ndo home...ukitaka kwenda chome lazima upite hapo vudee.msimu kama huu kipindi hicho pale ndo town kwenyewe tunamsikiliza babu yangu kibaja na igitaa[ maimuna]kina babu issa na bibi kopina. raha sanaa, tujiburudishe na kajimbo haka tufunge mwaka. chai ni huruuuu mkate ningafuuu