Happy Holidays wapare wenzangu

Happy Holidays wapare wenzangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na inna umempata wa kumuonea aisee unagonganisha hv[emoji23][emoji23][emoji23]...nadhan unamtuliza na pesa..bas na mm nabanana hapa hapa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pesaa??bora useme kingine uyo mpare unajua alivyo mbahili sijawah onja ata 100 yake
 
😂😂😂😂😂 na inna umempata wa kumuonea aisee unagonganisha hv😂😂😂...nadhan unamtuliza na pesa..bas na mm nabanana hapa hapa..
Inna nakaogesha na mapesa. Yani kanakuja kuchota kenyewe.
Nishakatoa out sanaaa kila kona ya mji hadi kamechoka mpaka kwa kina rest bbq kote nimekapeleka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mamaaaa..ila ivuga ana mashauzi jamam[emoji23]aliwah sema ataninunulia keki ya besdei..subiri na ww wapiiii nikaishia kula.mtori tu[emoji18]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uyo maneno mengi tu...wazaramo wamemharibu kwa maneno mengi vitendo sifuri
 
Back
Top Bottom