Nikasema haiwezekani mzaramo katulia Ina maana hajasoma hiiπ€£π€£Da mau ananitafuta niongee, halafu hachelewi kulalamika mimi na like na kucheka wakimsema yy katoto kazuri ππππ
Ila najua ananipenda ndiomana haishi kunitaja mfyuuuu!!
Hahahahahaha..kwamba mleta uzi ni mwezi mchanga ..?Huyo dada ana shida ya mental illness hata hapo katengeneza mchumba wa imagination nafikiri ingekuwa poa mngemsaidia kuliko kumuenjoy
Halafu umeniudhi ww ππππ Ukorofi
Hahahahahaha..humu mbn wengi tu fuse zimekata ..Sidhani kama anashida mkuu.. Ni vile tu maisha yake aliyojichagulia yanamuendesha, kichwani ziko zote
haya banaThanks babe lv u πππ
Sasa mtu anatengeneza mchumba wa imagination unafikiri atakuwa ana akili sawasawa kwanini usikae kimya na unajua upo single huo muda si bora hata ungemwandikia Mama yakoππ Ukorofi
Happy valentine babgalπHappy valentine m cuteπ₯°π₯°π₯°...Ila hapo kwenye unafiki wa Lamomy nimechekaaa Sanaa,sijui rafiki zake kina Tayana-wog Missy Gf wanajua?ππ
Hahahahahaaaaaaaaa warraaaaaaaaphaya bana
Ss hivi nilimwambia niko upande wake basi anajishauaje π€£π€£π€£Nikasema haiwezekani mzaramo katulia Ina maana hajasoma hiiπ€£π€£
Happy valentine to u too doll...Soma bandiko la dada maua utaona alivyomaliziaHappy valentine babgalπ
Wapi tena huko naomba nitag
Janga La Kimataifa mkuu...Your vs You're ni janga la ulimwengu.
Happy Valentines day
Inakuwaje mkali?Happy Valentine my babe,
Sweety π€£ππ napenda jinsi ulivyo,ngoja nishuke kikwetu.
I love the way your. Your all to me and I never knew that you love me. So much. I love u too.
I wish your here hug me and kiss me. I hope one day you will be here to stay. I wll always love you.
Happy Valentine my Boo πΉπΉπΉβ€β€β€β€β€β€β£β£β£β£π
View: https://youtu.be/3JWTaaS7LdU?si=nfobjZhGqfHIoiV6
View: https://youtu.be/eEjbcOe9hsc?si=B3es7ZLHO8YxlAvZ
Me nahisi wanajitoa tu ufahamu mkuuHahahahahaha..humu mbn wengi tu fuse zimekata ..
Mi sipendagi swaga za kumcheka dada Maua ujue?ni shosti wanguπSs hivi nilimwambia niko upande wake basi anajishauaje π€£π€£π€£
Kuna uzi aliuleta wa malalamiko, akalalamika sana mimi niko upande wa wanaomsema na nacheka na ku like. Halafu nasema nampenda ππππ
Da shunie kaniponza
Umeme mdogo πππHahahahahaha..humu mbn wengi tu fuse zimekata ..
naona unapata compliments kutoka kwa mchumbaπHahahahahaaaaaaaaa warraaaaaaaap
Nafuu yako wewe hauna hadi unahangaika na mwanamke hiyo ni mental illness hivi unadhani na mtu humu ambaye hanichori wengi wananienjoy kama kweli mtu hakuenjoy angenipiga tafu kwa vitu nauza hata wewe unanichora kwa maana mmengeniungisha vitu ninavyouza wanadamu wanafikiMsaidieni mwanamke mwenzenu kuliko kumuenjoy nadhani ana shida ya mental illness haswa