Happy Valentine's Day my babe

Happy Valentine's Day my babe

Da mau ananitafuta niongee, halafu hachelewi kulalamika mimi na like na kucheka wakimsema yy katoto kazuri ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ila najua ananipenda ndiomana haishi kunitaja mfyuuuu!!
Nikasema haiwezekani mzaramo katulia Ina maana hajasoma hii๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
1000085024.jpg
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Ukorofi
Sasa mtu anatengeneza mchumba wa imagination unafikiri atakuwa ana akili sawasawa kwanini usikae kimya na unajua upo single huo muda si bora hata ungemwandikia Mama yako
 
Nikasema haiwezekani mzaramo katulia Ina maana hajasoma hii๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ss hivi nilimwambia niko upande wake basi anajishauaje ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kuna uzi aliuleta wa malalamiko, akalalamika sana mimi niko upande wa wanaomsema na nacheka na ku like. Halafu nasema nampenda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Da shunie kaniponza
 
Happy Valentine my babe,

Sweety ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜๐Ÿ˜˜ napenda jinsi ulivyo,ngoja nishuke kikwetu.
I love the way your. Your all to me and I never knew that you love me. So much. I love u too.

I wish your here hug me and kiss me. I hope one day you will be here to stay. I wll always love you.

Happy Valentine my Boo ๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒนโคโคโคโคโคโคโฃโฃโฃโฃ๐Ÿ˜˜


View: https://youtu.be/3JWTaaS7LdU?si=nfobjZhGqfHIoiV6


View: https://youtu.be/eEjbcOe9hsc?si=B3es7ZLHO8YxlAvZ

Inakuwaje mkali?
 
Ss hivi nilimwambia niko upande wake basi anajishauaje ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kuna uzi aliuleta wa malalamiko, akalalamika sana mimi niko upande wa wanaomsema na nacheka na ku like. Halafu nasema nampenda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Da shunie kaniponza
Mi sipendagi swaga za kumcheka dada Maua ujue?ni shosti wangu๐Ÿ˜ƒ
 
Msaidieni mwanamke mwenzenu kuliko kumuenjoy nadhani ana shida ya mental illness haswa
Nafuu yako wewe hauna hadi unahangaika na mwanamke hiyo ni mental illness hivi unadhani na mtu humu ambaye hanichori wengi wananienjoy kama kweli mtu hakuenjoy angenipiga tafu kwa vitu nauza hata wewe unanichora kwa maana mmengeniungisha vitu ninavyouza wanadamu wanafiki
 
Back
Top Bottom