Happy Women's Day

emmyta happy woman day

Proud of you shosti kwenye ubuyu sikuonagi kabisaaa hasa zile ligi zetu jukwaa la celebrity. Upo na uhalisia zaidi.
Ahsante sana rafiki kipenzi.

Hahahaa. Nilishashindwaga yaani huwezi amini kila nikijitahidi niyajue mambo ya upande ule yaani bado najikuta hayaniingii kabisaaa..

Na kwako pia rafiki.
 
Kule mpaka uwe na kipaji maalumu cha kupenda udaku,chabo etc hahhaha
Ahsante sana rafiki kipenzi.

Hahahaa. Nilishashindwaga yaani huwezi amini kila nikijitahidi niyajue mambo ya upande ule yaani bado najikuta hayaniingii kabisaaa..

Na kwako pia rafiki.
 
Mie nashabikia wanawake wenye mafanikio sio wezi wa mafanikio. Nitafute kule kwenye ushabiki uone daima sikanyagi asiyekanyaga mwenzie,hivyo kubadilika vigumu mno.
DUH! mie ndo naisikia leo !mwenzako nnasehem za kupita aisee !mie ndo naskia kwako !ht uzi wa forex mie ht sijui km nimewah ingia !and am sure hakuna cment zang huko!pole zake Nifah!
bt na ww ni chachu ya mabadiliko pia !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…