Mkuu usiwasikilize wana ccm waliopo ngazi ya uwaziri, ubunge na ukatibu mkuu wa wizara au wakurugenzi wa mashirika ya umaNaona mnajidanganya kuwa kelele zenu mitandaoni zinawasidia kusikika na kuonekana mnazo hoja kiasi cha kuanza kujipiga kifua.
...
Sasa wewe huku mitandaoni unafanya nini kama siyo hicho hicho wanachokifanya wengine.Naona mnajidanganya kuwa kelele zenu mitandaoni zinawasidia kusikika na kuonekana mnazo hoja kiasi cha kuanza kujipiga kifua...
Bwana Idugunde,Hukumu ya Kesi iliyoisha juzi ya Jenerali Sabaya inakaribia,hawa ndio walikuwa na akili kama zako lakini leo wapo Jela Kisongo,nakukumbusha tu kwamba What Goes Around Comes Around,Naona mnajidanganya kuwa kelele zenu mitandaoni zinawasidia kusikika na kuonekana mnazo hoja kiasi cha kuanza kujipiga kifua...
Naona mnajidanganya kuwa kelele zenu mitandaoni zinawasidia kusikika na kuonekana mnazo hoja kiasi cha kuanza kujipiga kifua...
Nje ya mada dadaBwana Idugunde,Hukumu ya Kesi iliyoisha juzi ya Jenerali Sabaya inakaribia,hawa ndio walikuwa na akili kama zako lakini leo wapo Jela Kisongo,nakukumbusha tu kwamba What Goes Around Comes Around,mjifunze kutumia akili za kichwani badala ya akili za makalioniView attachment 2160004
Ushindwe na ulegee kama huoni matunda yake basi wewe ni kipofu au ulizaliwa kuanzia 1994 mpaka 2006 kwa hiyo kujua umuhimu wa Katiba mpya kwako itakuwa ni shida kwa sababu haujui faida yake au hasara yake.Naona mnajidanganya kuwa kelele zenu mitandaoni zinawasidia kusikika na kuonekana mnazo hoja kiasi cha kuanza kujipiga kifua.
Ninyi bado hamjapata sapoti kupitia mitandao mnajidanganya kama watoto wadogo.
Uhalisia wa mnachodhania kuwa mnasapoti kubwa kutoka kwa wananchi kupitia mitandao ni tofauti na hali ilivyo mitaani.
Kama kweli mngelikuwa na sapoti kubwa field na basi wananchi wangeandamana na kuunga mkono juhudi zenu kudai katiba mpya.
Chadema tatizo lenu hamna tofauti na raia wa Ukraine wanaopigana vita kupitia mtandao wa Twita huku field hali ni ngumu. Kuweni na busara za zaidi.
Hawa watu ni wa ajabu SANA wanahujumu uchaguzi halafu wanasingizia field,ccm bwana vichwa vigumu.Zingekua hazisaidii dikteta asingesema anatamani malaika washuke na kuzima mtandao.
Pia asingeifungia twitter hadi anakufa.
Asingezima mtandao siku 6 kwenye uchafuzi mkuu.
Huo ushamba wenu wa kudharau nguvu ya mtandao ndio ulifanya akafanya uchafuzi mkuu kuwahi tokea baada ya influence yake kushuka kwa kiasi kikubwa baada ya kupewa brief na vijana wake mwezi August.