Harakati za Ben Saanane kupambana na Rais Magufuli, ni njia sahihi ya kuwaridhisha wafadhili wake?

Kama Ben kaajiliwa na Lowassa na wewe umeajiriwa na nani kwa kazi ya kumshambulia Ben na unalipwa shilingi ngapi kwa kazi ya kumtukuza Magufuli?.
Angalia historia yangu Mkuu. Angalia pia mwelekeo wa post zangu
 
Msalimie Mange Kimambi
 
penye ukweli uzungumzwe huyu Ben maandako yake ni chungu kwa chama chetu maana mara nyingi anakuwa na fact though awe na adabu na aache kumuandika Rais wa nchi anavyotaka...
 
Jina lenyewe ni saa nane..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Eti Ben anasema alitangaza vita na raisi Dr. Magufuli, kichekesho hiki, Selasini tu kule Rombo alimnyoosha atamuweza raisi wa nchi?
 
Dj alishabadili gia angani tena.

Mpangusa viatu Vya wanene wa ufipa Ben , mwaka 2020 atalazimika kutunga mapambio ya kumsafisha mgombea urais wa Chadema Lugumi.

Kwa kuwa huwa hajifunzi 2020 ataifanya kazi aliyoifanya 2015 ya kusafisha aliowaita Mafisadi kwa muda mrefu.
 
Bavicha ni watu waliochanganyikiwa,na wala hawatafanikiwa kumtingisha Rais wetu
 
Mkuu uzi huu hautaondolewa kweli? Maana mada zinazotofautiana na Ben Saanane haziishi unaweza kufikiri Ben ni moja wa moderator wa jf.
 

Wewe Ni Kama Nape AKA Waziri Rumbesa, aliyesema Kuwa Lowassa Kanunua Chadema, Unajua Tunakamataje Waongo, they pretend to have details ambazo kikawaida Haiwezekani Kuwa Nazo. Nani sasa anaamini Kuwa Lowassa alinunua Lowassa kwa Mbowe Kama alivyokuwa Akisema huyu Mwehu kwenye Kampeni? Kama Una akili Mwambie Rais Nani aliwaua Wale Askari wanne Pale Bank na Yule Mwingine Vikindu, Maana wanasema Kikulacho Kinguoni Mwako!


 
Usitulazimishe tukubali kile unachokiamini wewe bwana mdogo! CCM mtatuambia kitu gani tuwaamini sisi? kwa kifupi hamkubalili hata kidogo na mnalazimasha mambo muonekane mnakubalika! hiyo 96% ya TWAWEZESHWA waliwahoji wa TZ wawapi? acheni kutufanya kuwa hatuna akili, ogopeni jueni kuna Mungu na haya yote yana mwisho!
 
Magufuli hawezi kutoka kwenye reli kwa kelele za akina Saa nane na uwongo wao wa kutunga. Ile ya bukoba haitafutika kichwani mwangu kamwe na pale ndipo nilipomdharau sana huyu mtu ben saa nane. Yaani alikurupuka mbio humu eti Mbatia azuiwa na polisi asipeleke Msaada kwa wahanga. Raisi Magufuli Una vita kali sana. Kumbuka kuna watu wengi sana walikua wananufaika na mifumo ya ufisadi na dili na kwa sasa maisha yao yamebadilika hao ndo wanaojaribu kwa kila mbinu kuwatumia vijana mpaka wanasiasa maarufu ili kukudhoofisha katika jitihada zako hizi za kuwatumikia Watanzania. Kwa sasa upigaji hela serikalini umekua mgumu sana hapo awali ndo ulikua utaratibu.
 
Hizi video zinahusiana vipi na mada?
 
Rais ni muacheni afanye yake huyo kijana apewe tu pesa lakn ninaiman kwa uwezo wa mungu Rais hawez kuchafuka hata kidogo....
 
Rais ni muacheni afanye yake huyo kijana apewe tu pesa lakn ninaiman kwa uwezo wa mungu Rais hawez kuchafuka hata kidogo....
Kinachosikitisha ni kwamba hawana hoja yoyote ya maana wanayotoa zaidi ya kumuattack tu binafsi. Washindwe kwa jina la Mwenyezi Mungu
 
Tunapata taabu sana kukuelewa unapoishia kulalamika kua Magufuli ni muovu bila kuuweka wazi huo uovu wenyewe sasa.
Mkuu, hao watu akili zao zote ameshika Mbowe. Hapo walipo hawajui hata wanaandika nini
 
Thread kama hizi ndizo zinazofanya Jf kuonekana ya Hovyo. Source ya habari yako? Ushahidi? Yan JF sasa imekuwa sehemu ya kushambulia watu binafsi bila ushahidi. Thread kama hii haina uwalali wa kukaa hapo kwa Heshima ya JF
Mkuu Kibosho, naunga mkono hoja kwa sababu jf was meant to be the home of great mind, ila kwa vile huu ni mtandao huru wa kijamii kila mtu yuko huru, matokeo yake ndio haya watu wenye sound mind wamejiunga na wanaleta hoja zenye mashiko kama Mkuu Ben Saanane ila pia watu wenye unsound mind pia wamo.

Bandiko kama hili ni uthibitisho Mkuu Lizaboni sio mzima, ni insane, kwa kifupi huyu ni kichaa kabisa, ila mtu kuwa kichaa sio lazima mpaka aokote makopo.

Kwa vile hawa vichwa wa jf ni wenzetu, hatuwezi kuwatenga, hatuwezi kuwatupa lazima tuendelee kuwa nao kwa kuwavumilia tuu.

Natoa ushauri kwa mode, tuanzishe jukwaa la umbeya na udaku wa kisiasa ili watu kama Lizaboni wawe wanapost kule huu utumbo wao kama huu.
Pasco
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…