Harakati za master kucha

Mkuu nipo Tanganyika mkoa wa Katavi,hmana chuo huku
 
Ulijifunza YouTube mkuu au
Kwa machinga mtaani,Kuna washikaji zangu wakurya nilikuwa naongozana nao,wakipaka naangalia,muda mwingine nawasaidia kuwaosha wateja wao,na kuwakata kucha aua kuwasugua Gaga
 
Kwa machinga mtaani,Kuna washikaji zangu wakurya nilikuwa naongozana nao,wakipaka naangalia,muda mwingine nawasaidia kuwaosha wateja wao,na kuwakata kucha aua kuwasugua Gaga
Sawasawa mkuu mm pia ni ur fellow CWT member napenda sana mwenzangu akiwa na side hustle na pia napenda sana hii kitu unayofnya
 
Sawasawa mkuu mm pia ni ur fellow CWT member napenda sana mwenzangu akiwa na side hustle na pia napenda sana hii kitu unayofnya
Tafuta wale machinga ongozana nao,ni vyema ukajifinza on hand Kwa kuona,halafu mtaji wake hata siyo mkubwa ukiwa na 50k unakijaza hicho kikapu,na kukijaza tena ni baada ya miezi mitatu au minne

Huku nilipo kubandika kucha ni 5k mguu mmoja,kupaka kucha 2k,

Nataka baadae nianze kupaka rangi za Jelly,na hizi mara nyingi ni Kwa wale wateja wenye Hela isiyo na mawazo kama wafanyakazi wa NMB,CRDB na wale wa TRA na their likes

Rangi za Jelly kumpaka mteja Bei yake ni kati ya 15k mpaka 25k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…