jangala22
Senior Member
- May 20, 2021
- 165
- 141
Sawasawa kwanini rangi ya jelly ni ghali mkuuTafuta wale machinga ongozana nao,ni vyema ukajifinza on hand Kwa kuona,halafu mtaji wake hata siyo mkubwa ukiwa na 50k unakijaza hicho kikapu,na kukijaza tena ni baada ya miezi mitatu au minne
Huku nilipo kubandika kucha ni 5k mguu mmoja,kupaka kucha 2k,
Nataka baadae nianze kupaka rangi za Jelly,na hizi mara nyingi ni Kwa wale wateja wenye Hela isiyo na mawazo kama wafanyakazi wa NMB,CRDB na wale wa TRA na their likes
Rangi za Jelly kumpaka mteja Bei yake ni kati ya 15k mpaka 25k