Harakati za master kucha

Harakati za master kucha

Tafuta wale machinga ongozana nao,ni vyema ukajifinza on hand Kwa kuona,halafu mtaji wake hata siyo mkubwa ukiwa na 50k unakijaza hicho kikapu,na kukijaza tena ni baada ya miezi mitatu au minne

Huku nilipo kubandika kucha ni 5k mguu mmoja,kupaka kucha 2k,

Nataka baadae nianze kupaka rangi za Jelly,na hizi mara nyingi ni Kwa wale wateja wenye Hela isiyo na mawazo kama wafanyakazi wa NMB,CRDB na wale wa TRA na their likes

Rangi za Jelly kumpaka mteja Bei yake ni kati ya 15k mpaka 25k
Sawasawa kwanini rangi ya jelly ni ghali mkuu
 
Back
Top Bottom