Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
- Thread starter
- #21
Mkuu nipo Tanganyika mkoa wa Katavi,hmana chuo hukuUko unakofanyia kuna chuo? Hiyo biashara inatembea sana karibu na chuo afu cha ajabu kila eneo inakofunguliwa haikawii kujaza wateja.
Kuna moja imefungua opposite na geti letu nyumbani mpaka nakuja kuigundua ishaanza kujaza watu wanasubiri hapo imeanza ndani ya wiki.