The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Toka CCM waligundue Hilo hawana presha kabisa na upinzani. Utaratubu huu alianza nao mkapa.
Issue sasa ninl kuwahonga madaraka ili wakae kimya kwani nao ni chumia tumbo. Hata ukiwahoji watakuuliza kwani wewe unalisha familia zetu?
Enzi hizo bwana Cheo Yupo moto kwelikweli mkapa aliivuruga UDP, Cheo na makanga (RIP) wakawa wanaongea lugha tofauti
Matokeo Yake Bwana Dan Makanga kapewa ukuu wa wilaya Huko Kigoma, Cheo kaachwa peke Yake Huo ndo ukawa mwisho wa UDP.
Hope nimeeleweka