kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
- Thread starter
- #41
Acha tu kaka mkubwa naelewaAcha kabisa mkuu, mjini kuna mengi.
Wacha tujifariji kwa jf.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu kaka mkubwa naelewaAcha kabisa mkuu, mjini kuna mengi.
Wacha tujifariji kwa jf.
Baba kasema ndio wametengewa zile pesa na jamaa hawasemi km zile pesa zimetengwa kwa ajili ya baba kasema, nisije nikawatukana bure maana wanatia hasira kumamamakezaoZile hela bila maelekezo ya baba kanituma utakuwa unazisikia tu redioni kuwa vijana kadhaa wapata mikopo ya vijana
Basi bhana mara zote nilikuwa nikimaliza kazi zangu as waiter nilikuwa najiinamia na kumuuliza Mungu maswali haya.Kweli mkuu simulizi ni nyingi wengine walishachoka kupambana wakaamua kurudisha mpira kwa kipa, ngoja tuone muendelezo ulirudisha mpira wa kipa?
Ndio mkuu tuendelee hapo baada ya hapo ikawaje akahamia kuuza karanga au kuzugia kwenye supu ya pweza au ulichukua maamuzi magumu ukaanza kuchoma mahindi kwenye njiapanda?Basi bhana mara zote nilikuwa nikimaliza kazi zangu as waiter nilikuwa najiinamia na kumuuliza Mungu maswali haya.
Hivi Mungu kwanini uliruhusu wazazi wakope na wauze hata mashamba afu wanisomeshe lakini kiko wapi leo nafungua tu vizibo hapo nilikuwa napenda kuusikiliza wimbo wa christian bella_usilie hapo nawaza huku ule wimbo ukiimba, ile verse Bella anasema "Usilie Kaza Moyo" ilikuwa inanipa vimachozi, ila nikagundua hata huu mchongo wa bar kuupata kilipigwa kipute cha interview kwa wagonga ulimbo kadhaa hivo hata kupata ilikuwa neema tu.Hapo nikawa najisemea asante Mungu kwa kila kitu
Umesomea course gan?Msoto bado unaendelea mkuu w wakuu nikijipata nitakuja kutoa ushuhuda
kwa ground mambo magumu sana sana
Upo sahihi 100%Me Sijui kwanini mawazo ya kuajiriwa yalinitoka pindi nilipohitimu ELIMU yangu ya o level, nilichukua ELIMU kama nyenzo ya kupanua uwezo Wangu wa kufikiri
Haijalishi familia ni masikini au tajiri ukitaka kuajiriwa utaajiliwa tu na ukitaka kujiajiri utajiajiri tu 👉aonavyo MTU nafsini mwake NDIVYO alivyo kwahiyo ukiwaza kuajiriwa itakuwa hivyo haijalishi hali yako ya maisha ikoje B'se mawazo Ndio Msingi wa MAISHA yetu
Kiumbe wa Mungu ni Mteknolojia Maabara Daraja La PiliUmesomea course gan?
Kwa hio wewe sasa hivi unamiliki nyumba ngapi za kupangisha au una miliki kampuni ngapi mpaka sasa au ndio wale unaishi kwenye cordor moja hivi iliyojichokea somewhere before ilikua inatumika km store umerundikwa humo na matakataka yote yenye kunuka uvundo km unaishi shimoni unalalia maboksi km godoro na huna hata kandambili unatembelea kiatu kimoja huu mwaka wa 4 huna hata shati jipya 1 Chrismas na Mwaka mpya kwako ni km jambo la anasaMe Sijui kwanini mawazo ya kuajiriwa yalinitoka pindi nilipohitimu ELIMU yangu ya o level, nilichukua ELIMU kama nyenzo ya kupanua uwezo Wangu wa kufikiri
Haijalishi familia ni masikini au tajiri ukitaka kuajiriwa utaajiliwa tu na ukitaka kujiajiri utajiajiri tu 👉aonavyo MTU nafsini mwake NDIVYO alivyo kwahiyo ukiwaza kuajiriwa itakuwa hivyo haijalishi hali yako ya maisha ikoje B'se mawazo Ndio Msingi wa MAISHA yetu