Harambee Stars vs Taifa Stars official thread

Yeeeeahhhhh!!!!!
Hata wakenya wamefufuka baada ya kufunga.
Twende zetu tukalale.

Nimekumbuka msemo unasema " the enemy of my enemy, is my best friend " mimi siyo wa kuishangilia Kenya kama siyo huo msemo.
I 158% agree with you!

Hebu twende zetu
 
Hivi tanzania watu kama wamasai au wakurya hawajui kucheza mpira tupate kikosi cha maana, ukicheki timu yetu japo tumejutahidi lakini pia mipira ya juu (mirefu) imetugharimu sana
 
Safi kabisa Kenya mmejua kunifurahiisha Kenyaaaa,dadiooo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Diamond hawezi kutukanyangia Tanasha halafu bado Taifa Stars wakanyange Harambee Stars
 
Umefungua Uzi ukajificha.
Harambee stars nilikuwa MWENYEWE hapa nimepambana wewe unakuja baada ya ushindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishindwa na multitasking ikabidi nitazame mpira Kwanza afu nijiunge nawe ila Nina furaha tumepata ushindi.
 
NOMA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji482][emoji482]
 
Hii tabia ya kudaka badala ya kupiga mbali mpira ambao hana uhakika nao huwa haachi.
Makosa ya hv yanamgharimu mno.....au usikute alikuwa kwenye munkari zake na yeye....dah imeniuma sana hii gemu halafu anatokea mtu huko ananiambia mm ccm cjui bashite yaani dadeq mama-e zao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…