Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeeeeahhhhh!!!!!Hahaahahahhaahahah
Because you are the hero
Mdoli mlakuuuu[emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Usitake kulila ukamsingizia yeye
Sawa Dam55 usiku mwemaaaaaaaaaaaaMh sa nifunge huku bashite kaweka mzimu wake pale si ni kujisumbua bure
I 158% agree with you!Yeeeeahhhhh!!!!!
Hata wakenya wamefufuka baada ya kufunga.
Twende zetu tukalale.
Nimekumbuka msemo unasema " the enemy of my enemy, is my best friend " mimi siyo wa kuishangilia Kenya kama siyo huo msemo.
That's my pal.[emoji8]I want you to fill the gap
Nilishindwa na multitasking ikabidi nitazame mpira Kwanza afu nijiunge nawe ila Nina furaha tumepata ushindi.Umefungua Uzi ukajificha.
Harambee stars nilikuwa MWENYEWE hapa nimepambana wewe unakuja baada ya ushindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NOMA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji482][emoji482]Ooh na na, what's my name? Harambee Stars
Ooh na na, what's my name?Harambee Stars
Ooh na na, what's my name? Harambee Stars
Ooh na na, what's my name? Harambee Stars Ooh na na, what's my name? Harambee Stars
What's my name? Omolo
What's my name? Olunga
Yeah, I heard you good with them Taifa Stars Yeah you know word of mouth The square root of Afcon is Magufuli Bashit-e, right?
game over nilikuambia lazima tukung'ute Taifa failures....@ichoboy01 tukikohoa mnakuja mbio.
Algeria watacheza watoe draw. Kwa sasa ndege ya Tanzania ishaanza kukaguliwa kama engine iko sawa. Kenya leo tunalala na viatuWasiwasi wangu ni kwa Algeria watatupiga nne hadi tano
Aliyekwambia mi ccm nan...au unafikir kutumia makalio..CCM mnashida kweli!
Makosa ya hv yanamgharimu mno.....au usikute alikuwa kwenye munkari zake na yeye....dah imeniuma sana hii gemu halafu anatokea mtu huko ananiambia mm ccm cjui bashite yaani dadeq mama-e zao...Hii tabia ya kudaka badala ya kupiga mbali mpira ambao hana uhakika nao huwa haachi.