Kenya sio mfano wa nchi inayo jitambuaKenya huwezi kuingia na pigo kama hizi za kishamba Kwa nchi zinazojitambua huwezi kuona Wanafanya UJINGA huu
Channel gani hiyo wakati TV yao Channel Ten wanakata viuno hukuFuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mlimani City jijini Dar Es Salaam ambapo leo tarehe 12 Agosti 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya harambee ya kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
Mgeni Rasmi katika harambee hiyo ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Harambee hii inalenga kukusanya shilingi bilioni 100 kwa ajili ya maandalizi ya kampeni, ikiwemo gharama za magari, mabango, mafuta, fulana na kanga.
Jinsi ya kuchangia harambee:
Hali ilivyo kwa sasa
View attachment 3439167
hii ni harambee ya CCM kitaifa na kimataifa gentleman.Wanawaomba mpaka diaspora wawachangie
Ova
Naunga mkono hojaHiyo tunaita kanyaboya TU bana,
Hela wanazo sana , lengo kupumbaza wananchi ili waone fedha za kampeni zimetoka mikononi mwa watu wengine kumbe wamechota hazina huko
Channel gani hiyo wakati TV yao Channel Ten wanakata viuno huku
View: https://www.youtube.com/live/Kl7JY-zdy0c?si=TWJ9NKMmXZrdQII6
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mlimani City jijini Dar Es Salaam ambapo leo tarehe 12 Agosti 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya harambee ya kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
Mgeni Rasmi katika harambee hiyo ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Harambee hii inalenga kukusanya shilingi bilioni 100 kwa ajili ya maandalizi ya kampeni, ikiwemo gharama za magari, mabango, mafuta, fulana na kanga.
Jinsi ya kuchangia harambee:
Hali ilivyo kwa sasa
View attachment 3439167
Focus ya CCM ni kujizatiti kushinda uchaguzi, kukamata dola, kuunda serikali na kuongoza nchi na sio nonsense zingine gentleman 🐒Washindani wao wakubwa ni chama kipi ?
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Rais Samia Akishiriki CCM 2025 Gala Dinner Ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam, leo tarehe 12 Agosti, 2025.