GE2025 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025) wamekusanya Bilioni 86.31

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Waarabu na wanamtandao Ndio wafadhili wa kampeni Kuanzia 2021 hizo zuga zenu mnadanganya Nani!!!
 
Channel gani hiyo wakati TV yao Channel Ten wanakata viuno huku
 
Ngoja tuombe takukuru ya USA itusaidie hizi billions kweli zitakuwa zimekusanywa kupitia hii michango au kuna namna na matumizi yake yawekwe hadharani.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan
 
Vituko! Sasa kama chama tawala kinataka mkwanja mrefu wa kufanya kampeni, vipi vile vyama visindikizaji vina hela za kufanya kampeni nchi nzima? Inakuwaje ccm itake hela kiasi hicho wakati imemwaga pikipiki na baiskeli ongeza na yale mabasi, ni kweli ccm haina hela za kampeni?
 
Hiyo tunaita kanyaboya TU bana,
Hela wanazo sana , lengo kupumbaza wananchi ili waone fedha za kampeni zimetoka mikononi mwa watu wengine kumbe wamechota hazina huko
Naunga mkono hoja
 
Isije ikawa ni zuga kuwa hela za kampeni zimechangwa kumbe kuna miarabu miwekezaji imemwaga hela ili mikataba yao ya kuchuma rasilimali za nchi iendelee kulindwa
 
Washindani wao wakubwa ni chama kipi ?
 
Mafisadi wanachangishana mali asili za Tanganyika yetu walizotupora.
 
Washindani wao wakubwa ni chama kipi ?
Focus ya CCM ni kujizatiti kushinda uchaguzi, kukamata dola, kuunda serikali na kuongoza nchi na sio nonsense zingine gentleman πŸ’
 
Kumamayo ..wnakuibia halafu wanakuambia utuchangie...
Mtakufa midomo wazi mbwa nyie ...,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ingekuwa chadema maskini ya mungu ndo ungecheki TRA walivo serious na KAZI Yao yani KAZI JUU ya KAZI yani bampa to bampa




Kwishaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…