GE2025 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025) wamekusanya Bilioni 86.31

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Focus ya CCM ni kujizatiti kushinda uchaguzi, kukamata dola, kuunda serikali na kuongoza nchi na sio nonsense zingine gentleman 🐒
Wewe Zuzu umeelewa swali nililouliza..?
 
Wewe Zuzu umeelewa swali nililouliza..?
mbona hata swali la kuiuliza CCM hakuna gentleman?

elewa focus ya CCM kwa mujibu wa katiba na sio kwa mujibu wa mihemko yako gentleman 🐒
 
najisikia furaha moyoni kwa kuchangi gawio langu kwa chama mama tuko na wewe bega kwa bega
 
Watanzania wanachezewa vibaya, ccm wanamatokeo yote tayari na yale ya majimbo mawili kwa ACT na CHAUMA sasa tunachangia nini?

Wote ACT na CHAUMMA hawana majimbo bara ila wataongwzewa kwenye viti maalum.
 
ila CCM ni waunifu sana, vyama vingine viige mfano na kuwa ahead of time!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…