GE2025 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025) wamekusanya Bilioni 86.31

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hela ipo, bilioni 100. Anayo tayari.

Wafadhili wake wapo, international cartels wanaotaka kazi iendelee.

Wakikaa wanamuangalia tu wanaweza kukuta kaja mwingine kufuta bandari, Uranium, makaa ya mawe, mabasi ya UDART.

Na wa ndani pia wapo wenye tenda za kudumu za kuingiza mafuta, mazao, dhana za majeshi, umeme wa Ethiopia, na majenzi makubwa makubwa.. Hawawezi kumwacha tu ahangaike mwenyewe.

Anafanya mchango kama janja janja ili mdhani pesa kachangisha kwa wananchi hapa hapa mjini.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Rais Samia Akishiriki CCM 2025 Gala Dinner Ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam, leo tarehe 12 Agosti, 2025.

 
 
Kama ulikuwa hujacheka siku nzima huu ndo wakati wako wa kucheka vituko hivi.
 
Anayetarajiwa kuwa mbunge wa morogoro vijijini atoa 50mil.
 
Kutoka kwenye kitabu cha Hoja na haja ya kufanya mageuzi ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…