Imenigusa imetokea kwa mtu fulani.....Mi nakumbuka kuna siku nililala kituo cha police ,chakushangaza hakuna jirani wala best alokuja na taarifa wanazo. Tangu apo kuna kitu nimejifunza nikafanya birthday party ya mtoto hao juu apo wote walijaa.
Wewe una upendo wa kweli?[emoji3][emoji3]Mwenye upendo wa kweli ndowatakao kaa na wewe kwenye shida na raha ila ndo wapo wachache sana
Pole mkuu ..usichoke, pambana.Nipo kwenye wakati mgumu kuwahi kutokea kwenye maisha yangu
Amebakia mtu mmoja tu yaani mmoja tu[emoji24][emoji24] na Mungu wangu.
Wewe una upendo wa kweli?[emoji3][emoji3]
[emoji39][emoji8]Zaidi ya ukweli
haya maneno ya kweli?Zaidi ya ukweli
haya maneno ya kweli?
[emoji39][emoji8]
Rafiki yangu mpenzi alikuwa anafanya masters lakini si mzoefu wa computer. Alikuwa ana submit essay.
Nilikaa kwake mpaka saa sita usiku amemaliza kuandika, tume proof read na mume wake ndiyo nikamsaidia ku submit kwenye blackboard
Kujitolea muda, pesa na mawazo ndiyo urafiki
Where is your kingdom?
Vipi body Chemistry haikusumbua ? saa sita na mume wa mtu ??!!!Rafiki yangu mpenzi alikuwa anafanya masters lakini si mzoefu wa computer. Alikuwa ana submit essay.
Nilikaa kwake mpaka saa sita usiku amemaliza kuandika, tume proof read na mume wake ndiyo nikamsaidia ku submit kwenye blackboard
Kujitolea muda, pesa na mawazo ndiyo urafiki
Kuna broo wangu nilimkopesha laki 4 mpaka leo hataki kurudisha.
Kuna broo mwingine ana laki 4 zangu naye ame-mute utadhani sio yeye.
Kuna dogo nlimfanyia applications za diploma kwa pesa zangu akapata chuo now hata simu zangu hapokei.
Kuna dogo nimemfanyia applications kapata MD ingawaje ana II (technique know-how), lkn saivi ananipita sometimes hasalimii.
Ubandidu tunafundishana sisi kwa sisi binadamu.[/color]