Hard times will always reveal true friends

Kwenye harusi yangu, niliwatumia ujumbe rafiki zangu wa karibu sana sana.Nakumbuka tukiwa pamoja walisema miongoni mwetu anatakaye wahi kuoa, watashiriki kwa udi na uvumba. Cha ajabu huwezi amini kati yao 13, aliyetoa mchango ni mmoja tu aliyekuwa anachukua masters udom tena anajilipia mwenyewe. Wao kila nikipiga simu hawapokei, nikawaomba waje tu wanitie moyo hata kama hawana mchango lakini hata kunijibu msg walipiga kimya..Ninavyoandika comment hii kati ya 13 wa nne wanaoa mwaka huu.wametengeneza magroup ya wahtsapp wameniunga na mimi wakiomba mchango wa hali na mali kwenye harusi zao..HAKI SITOWEZA CHANGA HATA CENT.
Nimeitafuta hii video clip, imenipa nguvu sana sana na kunitia jeuri kubwa.

Mwenye macho haambiwi tazama[emoji116]liwe somo kwa wengine
 
Kuna jamaa nilimfanyia mipango kazini kwangu..Alipoingia akawa na mshahara mkubwa kunizidi...basi kila siku ananidharau, nakumbuka siku moja nilikuwa nachukua picha akaniambia "tuache wenye iphone X zetu tufanye kazi kaa pembeni na tecno yako cs air" Dah niliumia sana sana sana. Leo kafukuzwa kazi kwa aibu kwa wizi.

Karma
Karma
Karma
Karma
 
Kwenye harusi yangu, niliwatumia ujumbe rafiki zangu wa karibu sana sana.Nakumbuka tukiwa pamoja walisema miongoni mwetu anatakaye wahi kuoa, watashiriki kwa udi na uvumba. Cha ajabu huwezi amini kati yao 13, aliyetoa mchango ni mmoja tu aliyekuwa anachukua masters udom tena anajilipia mwenyewe. Wao kila nikipiga simu hawapokei, nikawaomba waje tu wanitie moyo hata kama hawana mchango lakini hata kunijibu msg walipiga kimya..Ninavyoandika comment hii kati ya 13 wa nne wanaoa mwaka huu.wametengeneza magroup ya wahtsapp wameniunga na mimi wakiomba mchango wa hali na mali kwenye harusi zao..HAKI SITOWEZA CHANGA HATA CENT.
Nimeitafuta hii video clip, imenipa nguvu sana sana na kunitia jeuri kubwa.

Mwenye macho haambiwi tazama[emoji116]liwe somo kwa wengineView attachment 1191189
Ndio maana njtafanya harusi ya kishkaji isiyo na mbwembwe yenye watu muhimu tuu.
 
Nimepata ajali ya bodaboda.
Gari ya kwanza kufika eneo la tukio lilikuwa la wanangu. Wakaambiwa wabebeni majeruhi muwaacha hospital ya karibu, wakajibu wanawahi kwenye party. Wakaniaga kabisa.

Nilibebwa na nisio wajua, wakanifikisha hospital, wakanitunzia mali zangu, asubuhi wakaleta na chai kabisa. Ndipo wakanipa simu nikawasha nikatoa taarifa nyumbani. Nimekaa siku tatu hospital wale jamaa zangu hawajaja wala kupiga simu.

Walioniokota walinisalimu siku zote hospital mpaka nyumbani walifika kunijulia hali. Jamaa zangu nakutana nao mtaani wiki ya pili ndio daah pole sana zikawa nyingi. Ninatabasam tu.

Leo simpiti mwenye shida, kama siba uwezo wa kumsaidia nakaa mpaka atokee mwenye ana uwezo.
 
Rafiki yangu mpenzi alikuwa anafanya masters lakini si mzoefu wa computer. Alikuwa ana submit essay.

Nilikaa kwake mpaka saa sita usiku amemaliza kuandika, tume proof read na mume wake ndiyo nikamsaidia ku submit kwenye blackboard

Kujitolea muda, pesa na mawazo ndiyo urafiki
Duu mpaka masters bado si mzoefu wa kutumia computer, hongera endelea kuwa na moyo huo huo.
 
Kwenye harusi yangu, niliwatumia ujumbe rafiki zangu wa karibu sana sana.Nakumbuka tukiwa pamoja walisema miongoni mwetu anatakaye wahi kuoa, watashiriki kwa udi na uvumba. Cha ajabu huwezi amini kati yao 13, aliyetoa mchango ni mmoja tu aliyekuwa anachukua masters udom tena anajilipia mwenyewe. Wao kila nikipiga simu hawapokei, nikawaomba waje tu wanitie moyo hata kama hawana mchango lakini hata kunijibu msg walipiga kimya..Ninavyoandika comment hii kati ya 13 wa nne wanaoa mwaka huu.wametengeneza magroup ya wahtsapp wameniunga na mimi wakiomba mchango wa hali na mali kwenye harusi zao..HAKI SITOWEZA CHANGA HATA CENT.
Nimeitafuta hii video clip, imenipa nguvu sana sana na kunitia jeuri kubwa.

Mwenye macho haambiwi tazama[emoji116]liwe somo kwa wengineView attachment 1191189

🤣🤣🤣🤣attachment imeniacha hoi kama mbwai mbwai tu
 
Nipo kwenye wakati mgumu kuwahi kutokea kwenye maisha yangu
Amebakia mtu mmoja tu yaani mmoja tu[emoji24][emoji24] na Mungu wangu.
daa pole sana mkuu, ipo siku itakua historia hicho unachopitia. Bwana awe nawe katika wakati huu mgumu
 
In prosperity, your friends will know you.
In adversity, you will know your friends.
 
Umenigusa Sana, best yangu nilimpenda mpk familia zetu zilijuana.Alianza kupata kazi,familia,gari, Weee yaani hata ukimpigia simu hapokei.
Nimempotezea mwaka wa 9 huu.Tupo mji mmoja na nyumba zetu zipo Eneo moja lkn hatutafutani.
 
Nipo kwenye wakati mgumu kuwahi kutokea kwenye maisha yangu
Amebakia mtu mmoja tu yaani mmoja tu[emoji24][emoji24] na Mungu wangu.

Pole sana ni kipindi tuu utavuka na kukaa sawa tena, yaani unaweza shika simu na huna wa kumpigia wkt simu Ina majina kibao.
 
Another day another life
[emoji1488]
Atlast nimevuka salama
 
Nipo kwenye wakati mgumu kuwahi kutokea kwenye maisha yangu
Amebakia mtu mmoja tu yaani mmoja tu[emoji24][emoji24] na Mungu wangu.

Pole dear, kila kitu kina mwisho. Endelea kuweka matumaini kwa Mungu. Wala usitetereke kwa hilo.
 
Pole sana ni kipindi tuu utavuka na kukaa sawa tena, yaani unaweza shika simu na huna wa kumpigia wkt simu Ina majina kibao.
Sio tu wa kupigia, hata wa kupokea/wa kukupigia pia ndio hupotea kabisaaa kila mtu anajali maisha yake.
 
Back
Top Bottom