Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Huyo dogo anapenda sana kushobokea dundo! Na kibaya zaidi ni wa kiume! Awe makini sana asikatie mauno maisha ya watu.
 
Nimejikuta nacheka mpaka[emoji24][emoji24][emoji24]si kwambio hizo hamorapa!!!
 
Msanii Harmo rapa leo alienda kwenye kikao cha Mh. Nape kilichokuwa kinafanyia kwenye hoteli ya Protea. Baada ya kutokea sintofahamu askari/usalama alitoa bastola na kumnyooshea Nape Nnauye, tukio lile lilimpa wazimu Harmo Rappa na kujikuta anatimua mbio asijue aendako.
[HASHTAG]#HarmoBolt[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BoltRappa[/HASHTAG]

bado sijaamini Maulid kitenge anaweza kufanya Tukio hili la KIJASILI mbele ya mwana usalama ,hali iliyopelekea mwana Usalama kuingia hofu.Yaani nimerudia kuangalia hii clip zaidi ya mara 10.Hongera Kitenge Hongera sana .Mungu akupe Maisha marefu.
 
Acha atuchekeshe mimi nilikuwa na stress zangu jaman amenifurahisha yaan nimecheka mpaka basi looo amekimbia kidogo aanguke
 
Jamaa kabaya, angetumia sura yake kama mtaji, awe mbunifu zaidi kwa kutumia sura yake mambo yataenda shwari.
 
Duh!!hamorapa amenikumbusha mbali sana kwa mbio hizo nilipokuwa form 2 mwl wa nidhamu alivuta na kuanza kunichapa bila kujua kosa langu,nilikuwa na mdogo wangu alitimua mbio nilimkuta nyumbani.
 
Wamakonde wanaogopa bastola ile mbaya harmorapa kakimbia oysterbay mpk mbagala
 
Huyu ndio Harmorapa Tunaemjua,,,hakosi la kuonekana au kufanya,,,
 
Huyo kama ni usalama wa taifa basi kuna tatizo aisee, yaani amethubutu kabisa kutoa bastora mbele ya wanahabari halafu baada ya kuona Nape hatishiki akaonesha dalili za woga.
 
Back
Top Bottom