Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Hata mie nimeshangaa ushujaa wa wana habari wakati Harmo mbio anachanja mbuga wao wanaendelea kuchukua matukio. Lile jambo lingetokea bila kuwepo watu huvi ss tungesema mengine.
 
VERY TRUE!

watu ndo kwanza wametulia wanashoot tu!
KITENGE NDO KAMALIZA KABISA!
 
Kiki zingine bhana zitatutokea zitawatokea puani. Dogo aliposikia press ya Nape akawahi kutafuta kiki. Dogo kwa fursa!
 
Hebu acha uzushia as if wotye hatujaiona hiyo video. Actually namsifu sana kijana wa usalama as aliona akifyatua risasi yatatokea madhara makuu kinyume cha kumuona Kitenge shujaa ambaye alikaribia kusababisha maafa makubwa. Nape ni uelewa alikubali ile amri na kuanza kurudi ndani ya gari na hakupenda vurugu lakini kaja shabiki matonge akataka kuharibu kabisa usalama. Kitenge alaumiwe kwa nguvu zote!
 
yaani harmorapa kiki zitamuua kwa kweli kwa hizo mbio lazima ashinde kill marathon 2018
 
Jamani mbona mnamheka Hamo Rappa kukimbia baada ya kuona siraha? Msicheze na siraha jamani, ulizeni wale watangazaji wa SHILAWADU wako wapi baada ya kuona ile mitutu ya Bashite, mpaka leo hawajulikani walipo
Kweli kabisa Mkuu.
 
Silaha sio kitu cha mchezo MAULID KITENGE hakukiona chuma kama angekiona kama alivyo kishuhudia harmorappa asinge sogea pale.
 
Atleast he was there.
Nape alijaribu kutetea brand za baadhi wa wasanii, cha ajabu hao aliokuwa anawatetea hawakuonekana.
 
Embu ondoa porojo, uliona zimelengwa walipo au kubebwa tu?

Msikuze mambo nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…