Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Kwa Kuangalia tu hii scenario unaweza gundua mafunzo yanatolewa kwa vijana wetu miaka hii ya karibu hayakidhi mahitaji kabisa!! Pale ilikuwa ni diplomasia tu inemaliza mambo sasa mtu nipe kitambulisho unanionyesha Bastola kwani nimekwambia nataka Bastola? Halafu wakati huo huo unaonekana kwenye macamera ya waandishi Wa habari! Kuanzia juu hadi chini hamna cha maana

Hapo alitakiwa askari polisi mwenye uniform. Na mtu sahihi kabisa alikuwa yule mama, RPC, wa Kinondoni.
 
Hivi huyu Jamaa aliemtolea Nape Bastola ni nani?

Yaani kabisa ndio wamefundishwa hivyo huko TISS? Yaani yeye hawezi kujenga hoja? Au anafikiri mtu mpaka kufikia hatua ile anaogopa hizo Risasi?

Kwanza kavaa jeans ya kishamba sana kapelo ya kikoromije! Wenzake wote wako smart and Busara za Hali ya juu.

Inamaana yeye Ndiye aliambiwa Kamtoe akikataa PIGA RISASI ILKUSUDI TUTAWALE BILA OBSTACLES?

Mimi kama Mtanzania sijapenda kabisa lakini uzuri wa KARMA ni kama Kioo, Haidanganyi hata ufe Leo, Itakuandama tu.

Ewe mtoa uhai kwa Bastola Amewaaibisha sana Wenzio Leo, Huyo Bado ni Mbunge na Anajua siri nyingi sana za chama na serikali huenda kuliko wewe na huyo mwenzio aliebariki matumizi ya Bastola.. mmeona Bunduki na Bastola ndio mkombozi Wenu...

Mungu Haendi Likizo.


Kuna huyo alieva shat jeupe kashuka kwenye gari moja nanape nae kiunoni mzigo unaonekana kabisa alafu wala hanaa presha itakuwa nae ni wale wale sema ye bado anatimiza jukumu lake la kikazi sema hako kalikovaa tishet nyeusi kana mdomo mrefuuu
 
Sijawah ona bunduk dah kumbe tamu vile...chezea roho harmo rapa muoga iyo
 
Kazd nae harmo rapa kila pahala atafute kick sehem zngne unapata kiki na pastola
 
Hahhh!! Kaona manati ya mzungu!! Sasa hii ndo kiki ya ukweli kwa dogo!!
 
Hiyo move alishaijua mapema, na ukiangalia yule mwenye shati la pink waliekuja nae alikuwa seat ya nyuma na aliposhuka tu na kufunga mlango alimwacha Nape pale kama chambo vile, halafu yule kapero alipomfuata tu Nape na kutoa chuma, na yule aliyekuja na Nape alitaka kutoa chuma ila akaamua kusitisha na kumtuliza huyo mwingine, Mr Kapero. Halafu ukute Nape nae tayari alikuwa amevaa a bulletproof vest.

Hii movie ilivyokaa ni kama vile pale 'Victoria' na 'Mbweni' pamepasuka!!


unataka kusemaje yani, sijaelewa mantiki yako
 
Mi kutishiana bastola naogopa jamani.
Bora Harmorapa alipata nguvu ya kukimbia
Mi nahisi ningelipuliwa nayo maana ningemfata kumwambia msamehe usimpige.
 
Nape anavunjiwa heshima? ivi katenda kosa gani kwani mpaka jamaa aende kumzuia? Kweli CCM imevamiwa mara hii. Hii nchi inapokwenda, mhhh Mugabe huyoooo
 
Hamorapa Anatisha sana Mmeona Mbio Zake Baada ya Mweshimiwa Nape kutolewa Bastora Alovyo kimbia mbio.

Hahaha

Pole sana Hamorapa Punguza misele.
 
Back
Top Bottom