Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kumtishia mtu na bastola ni kosa kisheria, kwa nini huyu asichukuliwe hatua za sheria? hatari tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na yy yuko kwenye hicho kitengo nn mkuu maana kafanya kazi kubwa sana aise?Maulid Kitenge
Habari Wadau..
Tafadhari, Nimeiona video ambayo Nape Ametolewa bastola na mtu ambaye tumeambiwa ni Afisa wa Usalama Wa Taifa..
Ki ukweli kwa jinsi Nape alivyokipigania Chama Cha Mapinduzi si kwa Amri au kwa kuamua mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya vile mbele ya vyombo vya habari.
Cha kusikitisha katumia nguvu mno na kujigeuza kichaa kabisa..
Naamini CCM haimdai Nape ila nape anaidai CCM kwa alichoifanyia kipindi kile imepoteza Heshima..
Na hata wakati wa kampeni Nape aliwahi kutoa kauli isiyo ya kidemokrasia kwamba "ccm itashinda hata kwa bao la mkono"..
Kama Mwana CCM nina heshima kubwa mno kwa Nape..
NINAOMBA TUMTAMBUE TU HATA KWA JINA TU YULE ALIYEMDHALILISHA ICON WA CHAMA CHETU KWA KUMTOLEA BASTOLA NA KUMSUKUMA KAMA PUNDA..(KWA ANAYEMJUA)
Nasisitiza mtu yeyote ambaye anaipenda CCM na kutambua mchango wa Nape Ndani ya CCM na hata uchaguzi wa 2015 hajafurahishwa na jambo hili.
NIMECHUKIZWA MNO KAMA MWANA CCM.
Msanii Harmo rapa leo alienda kwenye kikao cha Mh. Nape kilichokuwa kinafanyia kwenye hoteli ya Protea. Baada ya kutokea sintofahamu askari/usalama alitoa bastola na kumnyooshea Nape Nnauye, tukio lile lilimpa wazimu Harmo Rappa na kujikuta anatimua mbio asijue aendako.
[HASHTAG]#HarmoBolt[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BoltRappa[/HASHTAG]
Hiyo move alishaijua mapema, na ukiangalia yule mwenye shati la pink waliekuja nae alikuwa seat ya nyuma na aliposhuka tu na kufunga mlango alimwacha Nape pale kama chambo vile, halafu yule kapero alipomfuata tu Nape na kutoa chuma, na yule aliyekuja na Nape alitaka kutoa chuma ila akaamua kusitisha na kumtuliza huyo mwingine, Mr Kapero. Halafu ukute Nape nae tayari alikuwa amevaa a bulletproof vest.
Hii movie ilivyokaa ni kama vile pale 'Victoria' na 'Mbweni' pamepasuka!!
Kwa bashite ambay alienda na platoon clouds kachukuliwa hatua gani.Kumtishia mtu na bastola ni kosa kisheria, kwa nini huyu asichukuliwe hatua za sheria? hatari tupu
mkuu badala ya kumhurumia nape ,,
nimecheka hadi nimekaa chini.
hamorapa level zake za kiki si za nchii hii
Nimeogopa sana mtu ambaye alikuwa waziri anafanyiwa hivyo tena mchana kweupe, je sisi akina yahe? hatari sanaKwa bashite ambay alienda na platoon clouds kachukuliwa hatua gani.
Zoea tu hayo mambo, ndio maisha ya siku hizi yalivyo.
Mungu atusamehe kwa makosa ya mwaka 2015Kwa Kuangalia tu hii scenario unaweza gundua mafunzo yanatolewa kwa vijana wetu miaka hii ya karibu hayakidhi mahitaji kabisa!! Pale ilikuwa ni diplomasia tu inemaliza mambo sasa mtu nipe kitambulisho unanionyesha Bastola kwani nimekwambia nataka Bastola? Halafu wakati huo huo unaonekana kwenye macamera ya waandishi Wa habari! Kuanzia juu hadi chini hamna cha maana