Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
hata me meshangaaMaulidi kajitoa muhanga.. Anamsukuma mshikaji vile bila woga.. Au wanafahamiana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata me meshangaaMaulidi kajitoa muhanga.. Anamsukuma mshikaji vile bila woga.. Au wanafahamiana..
fry to hell nimekufuatia wewe mwanadada ila sasa umevunja sana utu wako. Please be a bit quite hapa siyo movie unajua unaweza in future ukajuta haya yote uliyokuwa unapost. Hujui unamshabikia nani kama ni Bashite anaweza asiwe yeye kama ni Makonda anaweza asiwe yeye wewe unapokea tu at the end of the day????@?
Msanii Harmo rapa leo alienda kwenye kikao cha Mh. Nape kilichokuwa kinafanyia kwenye hoteli ya Protea. Baada ya kutokea sintofahamu askari/usalama alitoa bastola na kumnyooshea Nape Nnauye, tukio lile lilimpa wazimu Harmo Rappa na kujikuta anatimua mbio asijue aendako.
[HASHTAG]#HarmoBolt[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BoltRappa[/HASHTAG]
UMEJAMBA KISHA UNACHEKA MWENYEWE!JF SIO SHULE ZA AWAL NENDA FB KENGE WW UNACHEKA NN SASA?Ha ha ha ha.. chezea mguu wa kuku wewe..!
Anaitwa maulid kitenge.naomba kumjua huyu mkuu aliyeepusha shari mwenye suti ya pink ,da anaujasili sana sana
Duh, umeongea ki profesheno aisee. Embu tufafanulie sisi raia.Bastola yenyewe aliiweka mkono wa kushoto wakati yeye anatumia mkono wa kulia, huyu tiss hana uzoefu wa kutumia bastola, kwanza anaitoa bastola kishamba kabisa