RASMI: HARMONIZE AFUNGA NDOA NA SARA
Harmonize usiku wa jana amefunga ndoa na mpenzi wake mwenye asili ya Italy "Sara" katika hotel ya Serena jijini Dar es Salaam. Pichani Mama Sara, Harmonize na Sara
Neno moja la pongezi kwake tafadhali
View attachment 1201407
View attachment 1201408
View attachment 1201416
Halafu umzingue Sara na michepuko yako ya kimakonde, ukienda Italy mama Sara ataku.mafia, c.unawajua Waitaliano?