Harmonise amefunga ndoa na Sarah

Hongera zake harmonize. Kijana alitulia au kama alikuwa anachepuka basi alifanya kwa siri
 
Alafu mbona kama amekaa na sarah muda mrefu katika mahusiano bila sarah kupata D kubwa au harmo ni tasa🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
[emoji2][emoji2957][emoji2957][emoji2][emoji2][emoji2]
Alafu mbona kama amekaa na sarah muda mrefu katika mahusiano bila sarah kupata D kubwa au harmo ni tasa[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Safe to say few if any men will ever bother to fcuk the wife.
 
Mungu kaumba kila mtu na wake kaeni chonjo enyi walimwengu (sikumbuki nani aliimba huu wimbo it's old school though)

Sara atulie
Harmonize asije akawa amefunga ndoa kwa kukomesha mtu fulani kule alikotoka maana ana kasi sana na matukio mengi kwa muda mfupi
Muumba awape Heri!
 
Wazungu uki cheat maswala ya divorce na separation of properties ni vitu vya kawaida sana


Hiyo kitu hainaga rangi au uzungu, inategemea na sheria za nchi ambayo divorce inafanyika.
 
Hii ndoa ni ya kidini ama ya kijadi ama ya bomani,sijaelewa kitu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…