Harmonize akiwa na Boss wake mpya

Harmonize akiwa na Boss wake mpya

Rayvanny hamna kitu, huyo dogo boya Sana, mwaka Jana na mwaka huu ametoa wimbo mmoja tu mzuri ule wa reggae, zingine zote ni nguvu ya Mond kushirikishwa, nyimbo kama natafuta Kiki na mbeleko zilimleta close Sana kutembea sambamba na konde boy, mara ghafula dogo kaanza kuchanja mbuga kusikojulikana, mara pochi Nene, Mara Timua vumbi, mara Nyegezi, mara paranawe nyimbo za kifala kabisa, mwenzake huku anapiga nambie, happy birthday na goma la Karne Kwangwaruu .....

Rayvanny arud kwenye mziki uliomtoa sababu saut yake ni nzur Kwa kuimba hata live anaweza kuimba kuwazidi hata konde boy na Mond, Mond anatumia nguvu nyingi Sana kumpush dogo, Ila dogo nyimbo zake za karbuni nyingi miyeyusho...
Kwani harmonize ana wimbo ambao kaimba peke yake umevuma tofauti na alizoshirikiana na diamond?
 
Back
Top Bottom