joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Waliopita mikonon mwake wamefanikiwa kimusic na hata darasan hatuwezi kuwa sawa wote japo wote tutafaulu na wote tukifanya biashara sio wote tutakua level sawa kutokana na uwezo binafsi ndio maana barnaba hakuwa anaweza kuimba ila alifundishwa akafika alipofika, wakina mwasiti wakina Lina walifika walipofika wakina Nandy bado anaendelea wakina Jay Dee wanaendelea kutokana na uwezo binafsi kila mtu anakarama yake ndio maana hata umchukue diamond na christian bella waimbe wengi tutamshangilia kwa diamond toka anaanza but akija christian bella wenye watu watatulia kwanza wamsikilize sauti yake maridadi inavyopanda na kushuka mwishi ndio tutamshangilia kiushabiki tutasema diamond amepiga show ya nguvu but kiuhalisia Christian bella amepiga show.
Na unasema Harmonize amefanikiwa kuliko Barnaba kimashabiki sawa amefanikiwa lakin kimaisha hawezi mkuta hata Shilole nakuhakikishia
Unahamisha magoli ,je una financial report za Harmonize na Shilole? Weka hapa tuamini kwamba Shilole yupo vizuri kuliko Harmonize.