Harmonize akiwa na Boss wake mpya


Unahamisha magoli ,je una financial report za Harmonize na Shilole? Weka hapa tuamini kwamba Shilole yupo vizuri kuliko Harmonize.
 
Muombeeni atusue tunataka tuwe na wanamuziki wengi wenye mafanikio hii habari ya dimond na kiba inatosha

Spendi sana kuona Dogo anaondoka Wcb kwa sababu naona kama nyota yake itazima gafla....ila kwa kauli ya kusema tunataka ishu ya Alikiba na Mond iishe nakuunga Mkono sana Chief.
 

Kuna watu wanampa sana Kiburi huyu Dogo mpaka anasahau na kuleta kiburi kwa Jamaa yake Mondi.....Anasahau kila style anayoifanya mpka kuimba anamuiga Domo...kutoa hii ya kupaka Dawa kichwani.
 
Spendi sana kuona Dogo anaondoka Wcb kwa sababu naona kama nyota yake itazima gafla....ila kwa kauli ya kusema tunataka ishu ya Alikiba na Mond iishe nakuunga Mkono sana Chief.
Ajabu ya Wabongo; ngoja msanii mpya atangazwe WCB halafu aanze kufanyiwa promo! Hawa hawa wanaosema bora aondoke tu, ndio hao hao watakaokuja tena hapa na kusema WCB wanamfanyia promo msanii wao ili kummaliza Harmonize huku wakisahau kwamba hata huyo Harmonize kafika hapo kwa promo!!
 
Muda wa Harmonize kuondoka WCB ulikuwa Bado Haujafika! Mtoto kaoleea hajatimiza Miaka 18
 
Wenye Moyo wa Diamond Ni Wachache Sana Umuinue mtuu afu akuletee dharau Bado Unaendelea kuinua Watu
 
Hakuna ulijualo,Kwani Harmonize Meneja wake ni Diamond?ukipata jibu la hili swali ndio utajua Ruge alikua nani kwa Mondi;Hata akina Nandi,Barnaba nk wana Mameneja wao ambao sio Ruge
 
Ruge mlisema mnyonyaji....
Tale, sallam, fella Leo mnawaita vijeti....
Bongo hata malaika aongoze mziki bado mtalalamika tu

Ova
 
Mkataba wa harmonize haujaisha ameamua kuterminate....salaam kashajibu hii kune interview yake
 
hatuombei mabaya ila anaemjaza ujinga huyu mmakonde atamfanya ajute siku moja.
 
Kuna wakati sisi masikini huwa atuaminiki hata kidogo. Kama aliweza kumwacha Wolper na kufuata pesa kwa mzungu. Fikiria namna Wolper alivyokuwa akidharauliwa kutoka na mwanaume mshamba wakati ule. Usishangae ayafanyayo Leo.
Mbona Mondi alimuacha Wema akaenda kwa dem mwengine?
 
Mleta Uzi acha kuchekesha . Hapo Boss ni Harmonize au huyo promoter!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…