rayvan hawezi hata kufikia robo ya uwezo wa kondeboyHarmonize ni nanii?
Tushamsahau
*Vanny to the world*
rayvan hawezi hata kufikia robo ya uwezo wa kondeboy
[emoji23][emoji23] wewe sikutofauti na wanaosemaga mbappe ni Bora kuliko neymar kasikilize Atarudi,nevergiveup,nambie,bado,Aiyola,niteke,Rayvan anajua kuliko harmo
Kati ya makosa ambayo mashabiki wanafanya ni kuabudu kuwa wasafi ndiyo kila kitu. Mwacheni naye ajaribu njia yake kama Diamond alivyotafuta njia yake, akishindwa atajua mwenyewe namna ya kuendelea. Ukiangalia Youtube, nyimbo za WCB zenye views zaid ya milioni 30 ni zile zinazohusisha wasanii wa nje tu, lakini WCB wasanii wa ndani tu hakuna aliyefikisha views milioni 30 wakati huyu dogo kaweza kufikisha milioni 50 kwa wasanii wa ndani tu.
Huku uongozi wa WCB kupitia Said Fella ukisisitiza hautabembeleza Harmonize kutumbuiza Wasafi festival na Kama Harmonize anataka kuondoka aage kwa amani.
Harmonize amekuwa akionekana na boss wake mpya Jembe Ni Jembe wakipanga mikakati mbalimbaliView attachment 1186225View attachment 1186226
Nilichosema ni kuwa Wasanii wanatunga nyimbo zao, halafu wanatafuta wasanii wengine nje ya nchi kuwashirikisha ili kuupa wimbo push; ndivyo ilivyo. Sasa Harmonize naye anazo nyimbo nyingi ambazo ametunga na halafu kushirikisha watu wa nje. Lakini wimbo wake aliokuwa ameplani kumshirikisha Davido,ila Diamond akaomba ndiye ashirikishwe nbadala yeke dio wimbo wenye views nyingi sana kuliko zote WCB ambazo hazikushirikisha mwimbaji wa nje. Hatujui iwapo angemshirikisha Davido kama alivyokuwa amepanga matokeo yangekuwaje.Wasanii wa ndani au msanii wa ndani maana ngoma zote za harmonize zenye viewers wengi zaidi Diamond yupo
Mkuu umenena. Nashangaa watu wanavyomuombea mabaya Harmo tunatakiwa tumuombee mafanikio zaidi nae huko akawasaidie wengine kama nae alivyosaidiwa .Simshangai kwa sababu amekua kisanaa na kiakili pia siku zote mtoto akikua kiakili anahama nyumbani kwa baba yake anakwenda kutengeneza mji wake anajenga familia yake ila akidumaa atafika miaka 40 nakuolea nyumbani anabakia kusubiri baba afe arithi nyumba na mali
Binafsi nnampongeza harmonize sababu ana akili ameweza kujitambua mapema kutengeneza ngome yake ili na yeye awape vijana wengine ajira
Domo kama ni mwerevu na ana roho safi kama anavyo jionesha kwa jamii alitakiwa ampongeze tena amuongezee na mtaji kisha afanye sherehe kuthibitisha kwamba kijana wake amekua na anaweza kujitegemea nadhani hiyo ndio itakua fahari kwake zaidi
Hata hapo ataendelea kunyonywa tu.Kwani hiyo Wasafi nayo inanyonya wasanii?
Labda alipitiwa,Wasanii wa ndani au msanii wa ndani maana ngoma zote za harmonize zenye viewers wengi zaidi Diamond yupo
Wasiwasi wangu ni experience ya huyo Jembe ni Jembe, sidhani kama anaconnection kubwa kwenye industry hasa kimataifa kumzidi Sallam SK, huyu jamaa anafanyia majaribio kupitia Harmonize, kama matokea hayatakua sawa na expections zake basi huo ndo utakua mwisho wa Harmonize. Kwa sasa tuuachie muda utatupa majibu.
Haha haha haha haha hah unaongea kama umekatika kichwa, unadhani ni rahisi kama kwenda chooni? Tafuta wewe hizo contact zake mtumie email, akikujibu share humu tafadhali..Hakina connection ni pure businessna hapo specialist wa.mambo hayo ya contacts and networking ni hiyo dada mkenya.
Ukitaka collabo na Temi Nigeria unamcheki tuu mnafika Bei na vigezo particular fanbase manlipana mnatoa track hakina connection ingine zaidi ya hiyo.
Kojoa ukalaleHuyo alikuwa back up ya Dai mamb
Fela ni meneja wa nini?
Acheni ujinga nyie watumwa,akili fupi ndio huwaza hayo utafia kwenye ualimu wa shule ya msingi usio na maslahi zaidi kula na madeni kwa mangiAkitaka apotee kwenye ramani aondoke WCB
Rayvanny hamna kitu, huyo dogo boya Sana, mwaka Jana na mwaka huu ametoa wimbo mmoja tu mzuri ule wa reggae, zingine zote ni nguvu ya Mond kushirikishwa, nyimbo kama natafuta Kiki na mbeleko zilimleta close Sana kutembea sambamba na konde boy, mara ghafula dogo kaanza kuchanja mbuga kusikojulikana, mara pochi Nene, Mara Timua vumbi, mara Nyegezi, mara paranawe nyimbo za kifala kabisa, mwenzake huku anapiga nambie, happy birthday na goma la Karne Kwangwaruu .....Rayvan anajua kuliko harmo
Ajabu ya Wabongo; ngoja msanii mpya atangazwe WCB halafu aanze kufanyiwa promo! Hawa hawa wanaosema bora aondoke tu, ndio hao hao watakaokuja tena hapa na kusema WCB wanamfanyia promo msanii wao ili kummaliza Harmonize huku wakisahau kwamba hata huyo Harmonize kafika hapo kwa promo!!