Harmonize ala shavu kutumbuiza nyumbani kwa Rais mstaafu Kikwete mwaka mpya msoga


ha ha ha

mbona mnakimbiliaga kuchagua upande? kwa nini tuko hivi?
 
Mimi naona Babu Seya angelitumbuiza ingelikuwa safi sana.


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
mzee wetu mwaka mpya atakuwa ameonana nao saa12 asubuh..yupo bize na majukumu na kuijenga nchi... ila alijitahd kututundikia ile kadi mtandaonii..
 
Maisha ni Kama Kioo, ukicheka nayo yanacheka ukinuna nayo yananuna, ukifoka nayo yanafoka!
 
Mmempa za USO jamaa bwana much know sana

Kiongoz hivi hawa jamaa wamelishwa nini mbona kila kitu wanapinga tu. Sielewi kabisa naona shida mkuu yaani hakuna kizuri kwao.
 
Yule msukuma hataki tule maisha eti kisa anabana matumizi alafu anachokifanya akionekani.

Tunakukumbuka sana Mkwere.
 
Kula Bata Mzee JK. Tunakutakia maisha marefu Baba. Nyakati ndio tunakukumbuka kweli! . Tangia umeondoka BABA JK, Tunaisoma namba kwelikweli, na matamko yamezidi kama vile tuwepata UHURU jana. Maneno ya FARAJA yametoweka! kabisa.
 
Nimeipenda hiyo mkuu, maneno kuntu kabisa
 
Reactions: MJJ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…