Harmonize alitua na Turkish Airways saa 11 alfajiri, akabaki Airport hadi saa saba kusubiri maandamano ya kumpokea


Duuh bonge la upumbavu!
 
Hajavunja sheria yoyote ya nchi
 
Ni formula ya kidunia. Tumia wajinga kupata mafanikio. Inatumiwa na wanasiasa, wachungaji hadi mataifa yaliyoendelea yanatumia mataifa maskini kuendelea zaidi.
Wajinga ni mtaji wa mwenye akili.
 
Angekua ni mwanasiasa mkubwa kama tundu lissu au mtumishi uchwara kama mwakasege, nyie wazee msingejazana hapo?

Kila rika lina mapendeleo yake, kijana kushabikia wanamuziki haimaniishi hafanyi vitu vingine, wewe fuata mambo yako.
We acha mambo yako ya kipuuzi,Mwakasege unamtaja hapa anahusikaje?
Una mambo ya kipuuzi kumbe?
Ulishawahi kumuona huyo mtu uliyemtaja kwenye media au upuuzi wa kupokelewa?
Jiheshimu ww,acha upuuzi
Anaingiaje hapa,anahusika nn Kwa mfano?
Acha ujinga ww , yaani watu sijui mna shida gani
 
nisamehe bure rafiki yangu, haya mambo sina imani nayo kabisa

mwakasege ni mhubiri wa injili mamboleo, hana dhehebu rasmi, hivyo kwangu ni tapeli
 
Maisha ya WASANII wetu YANAWAHARIBU VIJANA!😢😢😢😢
MAISHA YAO YAMEZIDI USANII MPAKA YANAKINAI...
 
Angekua ni mwanasiasa mkubwa kama tundu lissu au mtumishi uchwara kama mwakasege, nyie wazee msingejazana hapo?

Kila rika lina mapendeleo yake, kijana kushabikia wanamuziki haimaniishi hafanyi vitu vingine, wewe fuata mambo yako.
Eti mtumishi hewa Mwakasege......ila yule jamaa hata anavyofundisha havieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…