Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa alisema anatafuta mtu wa kumroga, halafu atamlipa huyo mrozi mwenyeweSijajua lengo la kukuingiza hapa ni nini? Jamaa anatafuta umloge tu alafu akulaumu
Mwakasege mbona hatujasikia akishtakiwa kwa utapeli? Je kamtapeli nani?Tapeli.
😁😀😃🤣😄Vijana hawana kazi za kufanya
Huyu ni Harmonize akiwa hana hela auuSasa huu muda ulio tumia, SI unge fanya Jambo la maana.
👉Maana saa 7 usiku, Ina onesha Ume umia Kama vile ni mumeo ali kuacha ehh??
View attachment 2820309View attachment 2820310
Hii nchi ina vijana mazezeta sana. Huyu mwanamuziki aliyetwaa tuzo huko Marekani alifika jana alfajiri saa 11 na ndege ya shirika la Uturuki, akabaki ndani ya uwanja huku akiendelea kuratibu mapokezi yake.
Umati ulikuwa ukija kwa mafungu mafungu hadi mida ya saa saba ndio akatoka nje sasa ili alakiwe kwa maandamano.
Kwa akili hizi ndio maana tuna vijana wa hovyo wanaodhani watatoka kimaisha kwa kuwa chawa wa mtu fulani.
Vijana ni aibu kwa taifa kwani ndio hawa wamesukuma gari kuanzia Airport hadi nyumbani kwa Harmonize.
Hawa ni vijana wanaotumika sababu vichwa vyao vimejazwa upumbavu na kutojiamini.
Mwisho wa siku wanazeeka bila ndoto zao kutimia wanaamua kuwa wachawi, wakiona una hela kidogo tu, wanakuroga.
Bora Mshana Jr kaachana na uchawi
Hajavunja sheria yoyote ya nchiHii nchi ina vijana mazezeta sana. Huyu mwanamuziki aliyetwaa tuzo huko Marekani alifika jana alfajiri saa 11 na ndege ya shirika la Uturuki, akabaki ndani ya uwanja huku akiendelea kuratibu mapokezi yake.
Umati ulikuwa ukija kwa mafungu mafungu hadi mida ya saa saba ndio akatoka nje sasa ili alakiwe kwa maandamano.
Kwa akili hizi ndio maana tuna vijana wa hovyo wanaodhani watatoka kimaisha kwa kuwa chawa wa mtu fulani.
Vijana ni aibu kwa taifa kwani ndio hawa wamesukuma gari kuanzia Airport hadi nyumbani kwa Harmonize.
Hawa ni vijana wanaotumika sababu vichwa vyao vimejazwa upumbavu na kutojiamini.
Mwisho wa siku wanazeeka bila ndoto zao kutimia wanaamua kuwa wachawi, wakiona una hela kidogo tu, wanakuroga.
Bora Mshana Jr kaachana na uchawi
Sawa. Muda ni mali, kupoteza muda ni kupoteza maliHajavunja sheria yoyote ya nchi
Wasalimie wenzako wambagustaUsisahau hao ndio wazee wa kesho
Ni formula ya kidunia. Tumia wajinga kupata mafanikio. Inatumiwa na wanasiasa, wachungaji hadi mataifa yaliyoendelea yanatumia mataifa maskini kuendelea zaidi.Hii nchi ina vijana mazezeta sana. Huyu mwanamuziki aliyetwaa tuzo huko Marekani alifika jana alfajiri saa 11 na ndege ya shirika la Uturuki, akabaki ndani ya uwanja huku akiendelea kuratibu mapokezi yake.
Umati ulikuwa ukija kwa mafungu mafungu hadi mida ya saa saba ndio akatoka nje sasa ili alakiwe kwa maandamano.
Kwa akili hizi ndio maana tuna vijana wa hovyo wanaodhani watatoka kimaisha kwa kuwa chawa wa mtu fulani.
Vijana ni aibu kwa taifa kwani ndio hawa wamesukuma gari kuanzia Airport hadi nyumbani kwa Harmonize.
Hawa ni vijana wanaotumika sababu vichwa vyao vimejazwa upumbavu na kutojiamini.
Mwisho wa siku wanazeeka bila ndoto zao kutimia wanaamua kuwa wachawi, wakiona una hela kidogo tu, wanakuroga.
Bora Mshana Jr kaachana na uchawi
Kila boda boda alipewa 20k na kila aliekuwa kwenye coaster alipewa 5kVijana hawana kazi za kufanya
We acha mambo yako ya kipuuzi,Mwakasege unamtaja hapa anahusikaje?Angekua ni mwanasiasa mkubwa kama tundu lissu au mtumishi uchwara kama mwakasege, nyie wazee msingejazana hapo?
Kila rika lina mapendeleo yake, kijana kushabikia wanamuziki haimaniishi hafanyi vitu vingine, wewe fuata mambo yako.
Aisee ila ana moyo kutoka alfajiri mpk sa Saba mchana🙄🙌Music industry bila kiki haiendi
nisamehe bure rafiki yangu, haya mambo sina imani nayo kabisaWe acha mambo yako ya kipuuzi,Mwakasege unamtaja hapa anahusikaje?
Una mambo ya kipuuzi kumbe?
Ulishawahi kumuona huyo mtu uliyemtaja kwenye media au upuuzi wa kupokelewa?
Jiheshimu ww,acha upuuzi
Anaingiaje hapa,anahusika nn Kwa mfano?
Acha ujinga ww , yaani watu sijui mna shida gani
Maisha ya WASANII wetu YANAWAHARIBU VIJANA!😢😢😢😢Hii nchi ina vijana mazezeta sana. Huyu mwanamuziki aliyetwaa tuzo huko Marekani alifika jana alfajiri saa 11 na ndege ya shirika la Uturuki, akabaki ndani ya uwanja huku akiendelea kuratibu mapokezi yake.
Umati ulikuwa ukija kwa mafungu mafungu hadi mida ya saa saba ndio akatoka nje sasa ili alakiwe kwa maandamano.
Kwa akili hizi ndio maana tuna vijana wa hovyo wanaodhani watatoka kimaisha kwa kuwa chawa wa mtu fulani.
Vijana ni aibu kwa taifa kwani ndio hawa wamesukuma gari kuanzia Airport hadi nyumbani kwa Harmonize.
Hawa ni vijana wanaotumika sababu vichwa vyao vimejazwa upumbavu na kutojiamini.
Mwisho wa siku wanazeeka bila ndoto zao kutimia wanaamua kuwa wachawi, wakiona una hela kidogo tu, wanakuroga.
Bora Mshana Jr kaachana na uchawi
Eti mtumishi hewa Mwakasege......ila yule jamaa hata anavyofundisha havielewekiAngekua ni mwanasiasa mkubwa kama tundu lissu au mtumishi uchwara kama mwakasege, nyie wazee msingejazana hapo?