Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anapiga gambe Sana eehKumasain mlevi Kama country boy
N sawa na kucheza 3 mzuka
Sana huyo hata sembe cjui Kama hatumiiJamaa anapiga gambe Sana eeh
One love
mhhh huyo nae zilipendwa yeye yuko kimya kama maji bwana...anawasubili sijui akina mjengon wale sijui???Vip alikiba anasemaje kwani
kaka yake yule aliyopo pale nani pale naskia anatumia sana na ndo mdau mkubwa wa ile ishu za unga wa ugaliSana huyo hata sembe cjui Kama hatumii
Au ameacha
Babu wa kitaakaka yake yule aliyopo pale nani pale naskia anatumia sana na ndo mdau mkubwa wa ile ishu za unga wa ugali
Naam babuu wa kitaa nimeshamshuhudia mwenyewe zaidi ya mara tatu akinusa ule ungakaka yake yule aliyopo pale nani pale naskia anatumia sana na ndo mdau mkubwa wa ile ishu za unga wa ugali
Kwani lunya ni mdogo wao au mwana tu ambaye country aliwatoa kwa Mensen selekta na kuwapeleka kwa switcher lunya na wale wenzake?Naam babuu wa kitaa nimeshamshuhudia mwenyewe zaidi ya mara tatu akinusa ule unga
Mdogo wao young lunya nae ni pombe na mabange yani familia nzima ni pombe wenyewe wanasema wanaozaaaa
Kitu poa kuiba wa mwenzio ..?We Ni Wale Watu Wasiopenda Maendeleo Ya Watu , Kwa Upande Wangu Harmonize Naona Kafanya Poa , Muziki Unaitaji Vitu Vingi Na Usifikiri Kipaji Tuu
Sema KONDE GANG Kama haisound poa hiv
Jamaa ni mlevi?hongera mlevi country boy kwa kusainiwa
Jamaa ni chapombe kweli?Kumasain mlevi Kama country boy
N sawa na kucheza 3 mzuka
Sema KONDE GANG Kama haisound poa hiv
Genge la MakondeSema KONDE GANG Kama haisound poa hiv
Nahisi ni dogo wao kabisaKwani lunya ni mdogo wao au mwana tu ambaye country aliwatoa kwa Mensen selekta na kuwapeleka kwa switcher lunya na wale wenzake?
Hapana siyo mdogo wao lunya Mensen aliwakuta Dodoma, ndo wakaja dar wakawa wanafanya kazi studio kwake, ila kutokana na uchhanaji wao akaona wanaweza kuwa kundi na walipokuwa wakichana watu walikuwa wanakuwa suprized wanasema Oh My God ndiyo wakaja na idea ya kuwa wajiite OMG.Nahisi ni dogo wao kabisa
Makonda atakuwa na mkono wake hapoHaka kamakonde hii jeuri kanatoa wapi wameshindwa wakonge kibao kwenye industry lakini kenyewe ka juzi tu kana lebel ya watu 6 sasa. Au ndo kanamtunishia msuli baba yake mlezi