Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Kuna tetesi nzito mitandaoni kuhusu ukaribu wa msanii Harmonize na Abby Chams. Watu wanajiuliza, je, hii ni collabo ya kimuziki au kuna kitu zaidi?
Baada ya Harmonize kuonekana akimposti Abby mara kwa mara, mashabiki wameanza kuhisi kama "kapata chombo cha kwenda". Wapo wanaosema ni upendo mpya, wengine wanasema ni ushirikiano wa kazi.
Unadhani kuna mapenzi hapa au ni kiki tu za muziki? Tupe mawazo
yako!