MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hiyo familia inajidanganya. Kwa kumruhusu tu kufanya muziki tayari ni sawa na kumkatia tiketi ya kutafunwa na haya maharamia yaliyopo kwenye music industry. Kama una binti/dada/mpenzi/mke ambaye yupo kwenye muziki au siasa basi jua kuna mhuni/wahuni wanatafuna bila masharti yoyote. Boss wa muziki ni shetani.Ni kiki akuna mapenzi pale! Jamaa alipewa colabo basi- Famili yao kwanza awana mehemko na pia awana njaa, na huyu Binti muda wote anapotoka Kwao ana Bodguard, mama ake na dada-