Harmonize apata mdogo wake au mpenzi? Abby Chams anasemaje?

Harmonize apata mdogo wake au mpenzi? Abby Chams anasemaje?

Hiyo familia inajidanganya. Kwa kumruhusu tu kufanya muziki tayari ni sawa na kumkatia tiketi ya kutafunwa na haya maharamia yaliyopo kwenye music industry. Kama una binti/dada/mpenzi/mke ambaye yupo kwenye muziki au siasa basi jua kuna mhuni/wahuni wanatafuna bila masharti yoyote. Boss wa muziki ni shetani.
Sawa na wewe jipange umtafune! Tusikariri ! Sio kila mwanamke aneenda bar anatafuta bwana.Wengine wanaenda just to relax
 
Kuna tetesi nzito mitandaoni kuhusu ukaribu wa msanii Harmonize na Abby Chams. Watu wanajiuliza, je, hii ni collabo ya kimuziki au kuna kitu zaidi?

Baada ya Harmonize kuonekana akimposti Abby mara kwa mara, mashabiki wameanza kuhisi kama "kapata chombo cha kwenda". Wapo wanaosema ni upendo mpya, wengine wanasema ni ushirikiano wa kazi.

Unadhani kuna mapenzi hapa au ni kiki tu za muziki? Tupe mawazo
yako!
Wanawake mnajuana wenyewe.
 
Una wivu husda na Chuki unataka Dunia yote iwe kama unavyotaka wewe! Una mawazo mgando- kwa kuwa wewe una kitu basi unatak wote wawe kama wewe
Punguza gubu, litakuua. Nikuonee wivu una nini? Sikufahamu na sioni nilipokuwekea husda. Itakuwa una shida kichwani
 
Back
Top Bottom