Harmonize apata mdogo wake au mpenzi? Abby Chams anasemaje?

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,367
Reaction score
2,451
Kuna tetesi nzito mitandaoni kuhusu ukaribu wa msanii Harmonize na Abby Chams. Watu wanajiuliza, je, hii ni collabo ya kimuziki au kuna kitu zaidi?

Baada ya Harmonize kuonekana akimposti Abby mara kwa mara, mashabiki wameanza kuhisi kama "kapata chombo cha kwenda". Wapo wanaosema ni upendo mpya, wengine wanasema ni ushirikiano wa kazi.

Unadhani kuna mapenzi hapa au ni kiki tu za muziki? Tupe mawazo
yako!
 
Majibu ya mwanzo yakiwa ya madongo basi jipange kwa mfululizo wa madongo mpaka liamba, be prepared dude.
NB: Members no longer care whether it's a celebrity page which involves gossips and rumors, hapa utapigwa mawe mfululizo.
 
Watu wengine ni hovyo kaka 😂 Sasa imagine mtu anatoa comment tuombe ushauri wa kazi kwenye entertainment
 
Ni kiki akuna mapenzi pale! Jamaa alipewa colabo basi- Famili yao kwanza awana mehemko na pia awana njaa, na huyu Binti muda wote anapotoka Kwao ana Bodguard, mama ake na dada-
 
Attachments

  • IMG_2014.jpeg
    187.2 KB · Views: 2
Ni kiki akuna mapenzi pale! Jamaa alipewa colabo basi- Famili yao kwanza awana mehemko na pia awana njaa, na huyu Binti muda wote anapotoka Kwao ana Bodguard, mama ake na dada-
Aise ni wa kishua kweli huyu Binti ila kuhangaika na konde ni kujizalilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…