Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Msanii wa Bongo Flava, Harmonize ameandika kupitia mtandao wake wa instagram sifa za Bakhresa na kusema Bakhresa ni mchapa kazi na hachagui biashara yoyote na kumsifia zaidi kwa kusema hana hulka ya kutembea na wafanyakazi.
Msanii huyo aliandika ujumbe mrefu wa kuelezea maana ya wimbo wake.
Vile vile Harmonize alitinga katika mojawapo ya hoteli zinazomilikiwa na Bakhresa na kusifia utajiri wa Bakhresa na kurusha vijembe kwa watu wanaojifanya ni matajiri huku hawana kitu, alisikika akisema wale wanaojifanya matajiri wangepata boti moja kama ya Bakhresa.... 🤣