Harmonize arusha jiwe gizani, asema "Bakhresa hana hulka ya kutembea na wafanyakazi"

Uhuru umezidi hii nchi.

Unatumia jina la mtu mwenye heshima zake kama Bakhresa kupiga vijembe.

Upumbav gani huu!!?
 
Hivi Bakhresa anamjua huyu mmakonde au ndio uchawa apewe ubalozi mziki ushamshinda bila mondi mambo hayaendi
 
Hela zimeanza kumuishia na hana namna ya kujiset kulingana na namna alivyojikweza hapo nyuma, kwahiyo kaamua kuja na stratagy ya kujifanya anamsifia Bakharesa.

Nani asiyejua kuwa bhaharesa ni tajiri? Kwahiyo kama bakhresa ni tajiri yeye kama harmonize anajivunia nini hasa juu ya utajiri wa Bakharesa ambao kaja mjini kaukuta? Kinachonishangaza ni kwamba kaamua kujitolea tu, bora hata angekuwa ni balozi wa Azam ingeleta maana.

Subirini muone itakavyokuwa kam Bakharesa ataamua kumpotezea, siku sio nyingi alijitolea kuwa chawa wa JPM kiasa cha kujiita MBUNGE[emoji23][emoji23].
Wamemsifia magu, wamsifiege na mama suluhu,

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2148834
Msanii wa Bongo Flava, Harmonize ameandika kupitia mtandao wake wa instagram sifa za Bakhresa na kusema Bakhresa ni mchapa kazi na hachagui biashara yoyote na kumsifia zaidi kwa kusema hana hulka ya kutembea na wafanyakazi. Msanii huyo aliandika ujumbe mrefu wa kuelezea maana ya wimbo wake.

Vile vile Harmonize alitinga katika mojawapo ya hoteli zinazomilikiwa na Bakhresa na kusifia utajiri wa Bakhresa na kurusha vijembe kwa watu wanaojifanya ni matajiri huku hawana kitu, alisikika akisema wale wanaojifanya matajiri wangepata boti moja kama ya bakhresa.... [emoji1787]

View attachment 2148835

Mr mipasho
 
Back
Top Bottom