Hela zimeanza kumuishia na hana namna ya kujiset kulingana na namna alivyojikweza hapo nyuma, kwahiyo kaamua kuja na stratagy ya kujifanya anamsifia Bakharesa.
Nani asiyejua kuwa bhaharesa ni tajiri? Kwahiyo kama bakhresa ni tajiri yeye kama harmonize anajivunia nini hasa juu ya utajiri wa Bakharesa ambao kaja mjini kaukuta? Kinachonishangaza ni kwamba kaamua kujitolea tu, bora hata angekuwa ni balozi wa Azam ingeleta maana.
Subirini muone itakavyokuwa kam Bakharesa ataamua kumpotezea, siku sio nyingi alijitolea kuwa chawa wa JPM kiasa cha kujiita MBUNGE😂😂.