Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
- #21
TumeshalipaMlipieni deni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TumeshalipaMlipieni deni
NITAUBEBAKuna hizi ngoma za harmonize ambazo hazitokuja kuzidiwa na ngoma yeyote atakayoitoa Kwa upande wangu ni mpaka kesho,nishapona,Utanikumbuka,wote,sijui, Mtaje
Hongereni wakuuTumeshalipa
PamojaHongereni wakuu
Achana nae mkuu..hili kontena jipya..mkuu mu ignore tu mkuuWapi nimeongelea pesa? Unaona ulivyo zwazwa. Nimesema tupo busy na mambo ya kitaifa. Vijana kama nyie mnamchango mdogo sana kwenye taifa.
Umenikumbusha mbali sana 😁😁😁. Miaka ya 2003 hadi 4 nilishuhudia Mr Nice feki akipiga hela vijijini kwa show za kitapeli.
Ni mambo ya kawaida ,kuanzia mwezi wa Saba ni mavuno hivyo wanakijiji wanataka kurelax na kufurahia mavuno yao .Umenikumbusha mbali sana 😁😁😁. Miaka ya 2003 hadi 4 nilishuhudia Mr Nice feki akipiga hela vijijini kwa show za kitapeli.
Nitashukuru sana mkuu ,unajua ukibahatika kuheshimika na wanakijiji inabidi uwe ni mtu wa update kila siku ili wasipate mwelevu mwingine zaidi yakoPoa poa
We jamaa fala sana😂😂😂Ni mambo ya kawaida ,kuanzia mwezi wa Saba ni mavuno hivyo wanakijiji wanataka kurelax na kufurahia mavuno yao .
Nilifuatwa siku chache kabla ya nane nane na wazee wa busara wa Kijiji wakiongozwa na diwani ,eti wanahitaji nimlete Bony mwaitege aje kutumbuiza mbele yao kwa kiingilio Cha elfu kumi .
Basi mdaresalaam Mimi nikaanza kuitafuta namba ya bony mwaitege nikaipata Ila nikapiga hesabu nikaona gharama anazotaka na wanakijiji muitikio wa kuingia ukumbini nikahisi nitapigwa .
Nikaamua kuwafuata wazee na kuwaambia bahati mbaya bony mwaitege amesema anaenda nje ya nchi Ila anaweza kumtuma mwakilishi wake aje kutumbuiza alafu yeye mwezi wa kumi atakuja kutumbuiza bure 😃😃 ,wazee wakajaa ,hivyo nikawa na kibarua Cha kumtafuta kijana mwenye kipaji hata Cha kuiga nyimbo za bony aje afanye show .
Ila mpaka inafika tarehe nane sikufanikiwa kumpata kijana kila niliyempanga aliruka mita Mia ,basi hela nikaikosa japo bado Imani ya wanakijiji juu ya Mimi kuwa najua vitu vingi haujaisha hivyo najua ipo siku watalipa hela za Mimi kuzaliwa Dar es salaam
Mtoto wa kiume deni la mwanaume mwezako linakuhusu au ushavuliwa ubingwamshauri harmonize alipe kwanza deni la watu kabla ya ngonjera zako
Hakuna kama Aiyola..!!"Kuna hizi ngoma za harmonize ambazo hazitokuja kuzidiwa na ngoma yeyote atakayoitoa Kwa upande wangu ni mpaka kesho,nishapona,Utanikumbuka,wote,sijui, Mtaje
UjanaHivi ule wenye beat ya les wanyika unaitwaje