Harmonize atakuwa msanii wa kwanza kujitenga WCB

Wee jamaa unamuonea wivuu kisaa ana mke mzungu ......itakuwa ndugu yake wolper ww....!!
 
Huna hoja,umejenga hoja yako bila mifano ya hiyo interview,mfano kwenye interview flani aliongea haua na yale,acha hizo mambo hamo yuko,vizuri na management yake,chibu,salaam,wote wako vizuri na nize
 
Hata wewe uliondoka kwa wazazi wako vivyohivyo nae ataondoka WCB mana si makazi ya kudumu
 
Hiyo mistress uliyojivika na kumwaga povu hapa bado unadai maisha yake hayana impact kwake?si unaona umeshaanza comparison na contrast ya wake zenu yeye mzungu wako mbantu,stress huzo baba za maisha ya watu umezivagaa!
 
Juzikati Pale alipohojiwa na Soud Brown akawa ana mchecheto kinoma adi akaongea maneno nikaona yakienda kwa team members mwenzake kama Rayvann ambaye nae alipata mtoto hivi karibuni lazma amaind" au hata chibu
Harmo alisema "kunatofauti yakuzaa mtoto, na kuzaa mtoto wakizungu" kisa yeye kamtia mimba mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…