Harmonize atakuwa msanii wa kwanza kujitenga WCB

Dalili ya Mvua ni Mawingu.....Wazungu wasema Time Will Tell....Ngoja nitunze akiba ya Maneno yangu lakini akili yangu inanituma na kunambia kuwa HARMONIZE atakuwa msanii wa kwanza kujitenga WCB na watagombana na Kundi la WCB
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]UTABIRI ULIOTIMIA KWA HARAKA MNO danya,
 
Hakika mkuu
 
Nilichogundua wengi hatufikirii sana msanii wa kwanza alikuwa rich mavoko sio harmonize
Mavoko alipigwa chini na ndio maana alimbuluza Mondi BASATA ila Harmo kaipiga chini WCB na ndio maana Mondi kamkomalia alimpe 500m ali aweze kumrelease.
 
Na hizo kauli zenu mzungu,mzungu huyo mmorocko kwa baba na mama ni wakimbizi waliohamia Italy miaka mingi.
Huwa nacheka sana mnapoteza muda kusema ni tajiri,Mwenyewe Muitaliano ni njaa tupu itakua hao wakimbizi tena waliokuja lowea Zanzibar.
Italy hamna kitu,nshafika mara 3 kula bata ni kimyaa,na ukienda na euro za kutosha kule nakwambia ngozi inageuzwa wanakuita mmarekani hata uwaambie vipi we ni mwafrika pure hawakubali.
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu nitabirie namimi Kama mwakani naweza nunua gari
 
Rich mavoko alifukuzwa sio kuondoka,

Ndo maana kafulia, mizimu imechukia.
Producer aliyesababisha wimbo wa UNO wa Harmonize kufutwa YouTube, Atoa onyo kali kwa wasanii wanao-copy kazi zake
 
Jamaa ni mpambanaji, ata akiondoka anaweza anzisha label yake na akawatoa wasanii kadhaa pia. Lolote linaweza tokea, kwangu naona sawa kabisa.
 
The guy bado anasikika ramli imefanikiwa Kwa 50 %
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…