mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Eddy Kenzo X Harmonize hiyo X maana yake nyimbo ya Harmonize na Eddy Kenzo.Kama ingekuwa Eddy Kenzo featuring Harmonize ndio nyimbo ingekuwa ya Eddy Kenzo ila Harmonize kashirikishwa.Huo wimbo sio wake ni wimbo wa eddy kenzo yupo na harmonize
sawa apambane na hali yake.Eddy Kenzo X Harmonize hiyo X maana yake nyimbo ya Harmonize na Eddy Kenzo.Kama ingekuwa Eddy Kenzo featuring Harmonize ndio nyimbo ingekuwa ya Eddy Kenzo ila Harmonize kashirikishwa.
Mapema sana.Too early to judge.
Mleta mada acha roho mbaya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Too early to judge.
Mleta mada acha roho mbaya.
Bora yeye hatukani wanawake kisa kupata views.
Sio wimbo ni nyimbo na ni ya harmonize yupo na eddy kenzo Go to sleep ebooooohHuo wimbo sio wake ni wimbo wa eddy kenzo yupo na harmonize
Kwani umelazimishwa go to bend up and down eboooooohBora yeye hatukani wanawake kisa kupata views.
Kakojoe ukalale eboooooohNakuunga sana mkono kwenye hili.Nawachukia wasafi na nyimbo zao kwasababu hii.
Pia weusi ukimuondoa Gnako wanamatus sana hasa niki wa2.
Na kaka yake Joh siku hiz nae anateleza kwa kas katika hil.kwakwel i hate the habit