Harmonize awakera Wakenya, afanya interview na wanahabari kwa dakika 3

A wapi...
Mfano nandi tu, kajipendekeza kenya hata haikuchukua mda..sai ana mafanikio size yake...juzi tu kachukua tuzo marekani..

Wakati alipojifungia hko tanzania, alikomaa na tuzo za ndani tu
Ficha ujinga wako,
Hivi unajua nandy alishirika shidano lipi kubwa na Ilikuwa nchi ipi na akajipatia umaarufu na ushindi?
 
Ujinga gani, wakati nandy kaanza kushika kasi baada ya kujitafutia soko kenya..
Mlimuona alipozindua albamu yake nairobi..

Kabla ya hapo mimi binafsi nlikua simjui
Ficha ujinga wako,
Hivi unajua nandy alishirika shidano lipi kubwa na Ilikuwa nchi ipi na akajipatia umaarufu na ushindi?
 
Kenyan music imeshika mbaiyaa Sana...Nikisema "Wamlambez" ujibu "Wamnyonyez"
Me: Wamlambez
joto la jiwe : Wamnyonyez
Jito la jiwe uspin na mayeng,
Mmmh aahh na mayeng...
 
haha [emoji23] wasamehe my brother..
Kuna kipindi fulani nilikuwa maeneo ya kazi, nilikuwa naongea Kiingereza muda wote. Lakini kila ninayezungumza nae ananijibu kwa Kiswahili.

Nikagundua wabongo wengi hata wale wanaozungumza Kiingereza vizuri wanapenda zaidi kutumia Kiswahili.

Ukiwa bongo Kiingereza kinachukuliwa kama lugha ya kujikweza na ya kitumwa!

Jaribu tu kuzungumza Kiingereza ndani ya basi la mwendokasi. Watu watakusonya na kukuona juha!

Hawa wakenya ambao kimsingi ni manyani mbele ya macho ya mzungu, wanajiinua sana na kizungu chao uchwara. Lafudhi yenyewe ngumu kama njugumawe!

Kiingereza ni cha malkia bwana, sio hawa wajinga wa mombasa!
 
Hicho kiingereza chenyewe mbona hata hamjuwi kuongea?
 
Naomba kujua, km mnatoa murahaba kwa kumtumia Rose Mhando
 
Lugha yako ni kisukuma baba..wacha shobo na kiswahili...
 
Kwa akili ya kawaida tu haya yote ya nn?
Hauna busara kama harmonize wote Ni wale wale tu
Middle income this middle income that bullshit
 
Majungu tu hayo. Sijaona hoja yoyote ya msingi ya kumshutumu huyo msanii. Kwanza hatujapata kusikia upande wa pili,tumesikia upande mmoja tu wa kesi hiyo.

Hizo figisu tu kwa aliyefanikiwa. Acheni wadogo zenu wafanye kazi. Haitusaidii lolote kumuongelea mtu kwa mtazamo hasi kwa jambo ambalo wala halina ukubwa huo. Kwanza hata mtoto wako,si kila kosa la kumchapa ama kukaripia,zipo njia rafiki pia.
 

Ndo ujue kuwa ni majungu tu. Hayo ya dharau si kauli ya wakenya, ni kijikundi cha wenye chuki.

Mimi nilitegemea wabongo wapenda maendeleo na wazalendo kukemea hao waandishi wa Kenya wenye wivu.
 
Nimekuambia sisi huku hatuchezi nyimbo kwa kufuata mfumo wa kuelekezwa kiakili, tunafuata ubora maana pia hela tunazo, ndio maana wasanii wenu ili aage umaskini lazima ajaribu kila namna kusikika kwenye soko la Kenya, maana huko Bongo ni msoto tu.
Kumbe mda mwengine unakua mtambo kiasi hiki , kama muziki wa bongo fleva unafata Kenya mbona huko kwenu hakuna msanii mkubwa anaetamba Tanzania, ili nyimbo itambe east Africa lazima kwanza itoboe TZ kama huku itakua haijafanikiwa bc hata huko Kenya haitopendwa kama ulikua hujui.
 
Mumeshindwa kuwatengeneza wenu mtaweza wetu , TZ ndo kilakitu msanii akikubalika TZ kashafanikiwa EAC
 
Mfano mzuri Yope ilivyochangwanywa na radha ya bongo fleva ndo ikatambulika imejulikana limix wakati official hata haikujulikana kabisaa BONGO ndio kilakitu
 
Utakua kichaa we kama wanaogopa pale pembeni aliweka bendera ya Kenya?
 

Soko hutegemea na watu wenyewe walivyo, sio nymbo tu, kuna vitu vingi vinatamba huku ila kwenu huko hamna habari navyo. Nyie mlitumbukizwa kwenye mfumo wa ujamaa, hatuendani kwa lolote, mna kitu kinaitwa herd mentality, mnasubiri kuelekezwa nini cha kupenda na nini cha kuchukia.
Hamuna uhuru wa kujichagulia, ndio maana mumeongozwa na chama kimoja tangu mzungu awatengenee nchi, lugha moja, ukiskika unaongea lugha yako ya asili wanakuona mshamba, ukiongea kingereza wanakuita mtumwa.

Sasa ukija Kenya, huku tuna uhuru, kila mtu ameachiwa achague anachokipenda, unaongea lugha unayopenda, hakuna anayekusema, unaskliza nyimbo hata za mataifa jirani, yaani hamna kitu cha maana kama kuachiwa uhuru wa maamuzi.
 
Kwani sisi tunakatazwa kusikiliza za Kenya au unazani serikali ina husika kunadi music kua wananchi wasikilize mziki wa TZ tu tatizo wasanii wenu hawajui kuimba nyimbo zinazoendana na wa bongo ,alijaribu coco baby ft diamond vkumuona tena mpaka leo
 
Kwani sisi tunakatazwa kusikiliza za Kenya au unazani serikali ina husika kunadi music kua wananchi wasikilize mziki wa TZ tu tatizo wasanii wenu hawajui kuimba nyimbo zinazoendana na wa bongo ,alijaribu coco baby ft diamond vkumuona tena mpaka leo

Hamkatazwi, ila mumelelewa kwenye mfumo wa ujamaa ambao umewadumaza kiakili, huwa hamna uwezo wa kujiongeza.
 
Na ujue kua msanii kwanza akubalike TZ ndio anapata nguvu ya kwenda Kenya cjyi Uganda usidhani msanii anakuja huko kutafuta kiki anakuja Tatar kashajua ametoboa hamna msanii hata m1 asiekubalika TZ eti akaja huko kupiga show
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…