mwanaume akiwa hana akili anakuwa kama anatembea uchi!
ndio upi huoMjini kuna mambo sitakaa nihame. Mtaa wa 3 umeambiwa unafunga nappy jana
ahahaha mi mzima!Mnhhh matusi yako makubwa mno kwa wenzio
hujambo lakini?
ahahaha mi mzima!
wewe?
afadhali nimejua hawajakutundulissu!Kama kawa kama dawa
mzungu gani asiyejua kupika tambi???? angemfundisha kupika ming'oko na samakinchanga ningemuelewa.... kakosa la kufanya..... anataka kushindana na x wake!!!!! Mshaurini aendelee tu na maisha yake.... mashindano hayawezi