Harmonize awamwagia Povu baada ya kupost video na mzungu wake jikoni

mzungu gani asiyejua kupika tambi???? angemfundisha kupika ming'oko na samakinchanga ningemuelewa.... kakosa la kufanya..... anataka kushindana na x wake!!!!! Mshaurini aendelee tu na maisha yake.... mashindano hayawezi
 
kumbe mzee harmonize huwa anamwagiaga hapo maziwa yake!!!!!!!! duh kumbe pesa sabuni ya roho
 
Mbona kama anatumia nguvu nyingi wanapikaga hivyo kweli au mi ndo sijui kupikia majiko ya hvy

blame no body
 
mzungu gani asiyejua kupika tambi???? angemfundisha kupika ming'oko na samakinchanga ningemuelewa.... kakosa la kufanya..... anataka kushindana na x wake!!!!! Mshaurini aendelee tu na maisha yake.... mashindano hayawezi

We nani kakwambia wazungu wote wanajua kupika tambi?
 
Back
Top Bottom